chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,961
Shirika la umeme nchini TANESCO limesema halina mpango wa kupandisha bei za umeme kwa watumiaji wadogo na badala yake mpango huo upo kwa watumiaji wakubwa.
hujui maana ya mtumiaji mdogo,unaweza ukajihisi wewe ni mtumiaji mdogo kumbe sivyo.Kama unatumia zaidi ya unit 75 kwa mwezi basi wewe si mtumiaji mdogo.Pigo hili linaenda kulamba zaidi ya asilimia 75 ya watumiaji wa sasa wa umemeWatumiaji wadogo ndio tunaendesha kampuni ya Tanesco. Mkoani kama Songwe mtumiaji mkubwa wa Umeme ni nani zaidi ya tembo cement?
kama unatumia zaidi ya unit 75 kwa mwezi we sio mtumiaji mdogoKwahiyo wataongeza kwa wenye viwanda ili bithaa zipande?.....
Masikini sisi, tuko kama wakiwa, hatuna mtetezi, tunabanwa kila kona, kule kwenye mafao hakuna wakututetea, kwenye kodi za vimshahara vyetu hakuna wakututetea, hawa wa vyama vya wafanyakazi ni simba wa maboksi hawezi kuuma. Sasa ndo wanakuja huku kwenye umeme, gesi ndo bado anasa, mkaaa ndo usiseme, mafta taa nayo ndo hivyo, eeeeeeeeeh. Powa tu lakini, Mungu anaona.hujui maana ya mtumiaji mdogo,unaweza ukajihisi wewe ni mtumiaji mdogo kumbe sivyo.Kama unatumia zaidi ya unit 75 kwa mwezi basi wewe si mtumiaji mdogo.Pigo hili linaenda kulamba zaidi ya asilimia 75 ya watumiaji wa sasa wa umeme
Mambo ya kifala nchi hii yataendelea mpaka tutakapo kubali kuzitumia akili zetu ipasavyo katika uchumi kunakitu kinaitwa cheni kuongeza bei ya umm kwa namna yoyote inaua uchumi na inamwasiri MTU wa chini zaidiHii haingii akilini. Ni sawa na kusema bei ya mafuta ya taa haitapanda kwa kuwa watumiaji ni wananchi wa hali ya chini. Wakati huo huo ukipandisha bei ya petroli bila kujali athari za usafirishaji wa bidhaa na usafiri wa umma(Daladala) kwa ujumla! Tanesco jipangeni upya.
Shirika la umeme nchini TANESCO limesema halina mpango wa kupandisha bei za umeme kwa watumiaji wadogo na badala yake mpango huo upo kwa watumiaji wakubwa.
Mkuu hapa naona pia kama wamesoma upepo tuWatumiaji wadogo ndio tunaendesha kampuni ya Tanesco. Mkoani kama Songwe mtumiaji mkubwa wa Umeme ni nani zaidi ya tembo cement?