Tanesco: wateule wa Rushwa

Kinacho nisikitisha wananiambia niende Handeni Nikafungue kesi,,Najiuliza kesi ya nini,,,maana niliuliza tu kuwa kama ile umeme vijijini wa Tsh 27,000,,ulifutwa? jibu lilikuwa rahisi ndio umefutwa,au hapana haujafutwa,,,nakama haujafutwa kwanini mimi nimechajiwa Tsh 842,676.70? wangenijibu sababu zake ingetosha.Badala yake wananiambia nikafungue Kesi,,kweli Msemaji wa Tanesco,yuko kitaaluma au kaletwa mtoto wa Mjomba?
Ndugu Mteja, tafadhali onesha namba ya ombi, namba ya simu na Wilaya husika kwa hatua zaidi, Pia tujulishe ni nani alikupatia maelezo uliyodai kupatiwa na TANESCO kwa uchunguzi na hatua zaidi.
 
Back
Top Bottom