MKARASINGA
Senior Member
- Jun 9, 2018
- 149
- 239
Yaani tunawekewa vikwazo kujiendeleza na kuutokomeza umasikini ki kaya na taifa kwa ujumla bila sababu ya msingi"Tanzania ya viwanda" ilisikika sauti ya mwanamme mmoja akijinadi
Kama utakumbuka Maelekezo ya Serikali hapo awali hakuna mteja anayepaswa kununua kifaa chochote cha kumfungia umeme bali ni jukumu la TANESCO kusogeza miundombinu ya umeme kwa wateja wake, tafadhali tusaidie taarifa zifuatazoHabari, Mimi ni mkazi wa Morogoro vijijini. Biashara yangu ni ya kukoboa zao(silitaji kwa sababu binafsi) ni mwaka wa tatu sasa nafuatilia kuwekewa umeme katika kiwanda hichi kidogo maana natumia diesel lakini gharama nnazopewa ni zaidi ya milioni kumi, ikiwemo na kununua transform
Akitoa majibu unitagNgoja wakupe muongozo TANESCO
Kwa hiyo Meneja wa wilaya husika hajui huu utaratibu?Kama utakumbuka Maelekezo ya Serikali hapo awali hakuna mteja anayepaswa kununua kifaa chochote cha kumfungia umeme bali ni jukumu la TANESCO kusogeza miundombinu ya umeme kwa wateja wake, tafadhali tusaidie taarifa zifauatazo...
Tunaamini kabla ya kutuhumu tungepata taarifa kamili. Kwanza na sisi tutoe ufafanuzi sahihi, hakuna mteja anayepaswa kuteseka na sisi TANESCO tupo.Hicho kichwa Cha habari nimecheka kinoma[emoji1], hiv mkuu unajua bei ya transformer? Yan hao wahuni kama hawatak kukuletea umeme wakwambie tu
Tunaomba taarifa kamili tulizoelekeza, tutajibu hapa hapa kwa kuwa tunapenda kuhudumia wateja wetu popote walipo.Kwa hiyo Meneja wa wilaya husika hajui huu utaratibu?
Tunasubiri ushirikiano kutoka kwake maana mpaka sasa bado hatujapata taarifa tulizoomba.TANESCO majibu ya huyu mteja wa transformer mngeyaleta hapa jukwaani...