Tuliahidiwa umeme tokea wiki mbili zilizopita kwamba mambo yataenda sawa, tunaenda sasa wiki ya tatu bila umeme watanzania tunazidi kugawana umaskini, watu humu ndani mpo kimya mnashadadia matokeo ya tafiti zilizofanywa Lumumba.
Mwenye habari za jikoni atujuze manake mramba (mkurugenzi) wa TANESCO kama kupiga ganzi, isije ikawa walikuwa wabasubiri pesa za MCC tulizonyimwa rasmi 17.09.2015
Mwenye habari za jikoni atujuze manake mramba (mkurugenzi) wa TANESCO kama kupiga ganzi, isije ikawa walikuwa wabasubiri pesa za MCC tulizonyimwa rasmi 17.09.2015