BornTown
JF-Expert Member
- May 7, 2008
- 1,716
- 486
Wanajamvi,
Naomba kuuliza, hivi TANESCO wana tatizo gani na Luku zao? Maana nimenunua umeme wa elfu 40 lakini nimepata tokeni inaonyesha umeme cost 27266.89 total 40000, ina maana service charge imekatwa 12733.11. Wakati huwa nakatwa 3000 kama service charge.
Je, ndio tariff mpya za kampeni ya uchaguzi au ni kitu gani? Na ukiwapigia simu hawapokei. Kuna mtu humu imeshamtokea au kama ni tariff mpya tujuzane.