Hivi zile fedha zilizokuwa zinafichwa na wafanyabiashara ili kumhujumu zilishapatikana??machinja waliruhusiaa saivi wanatembezewa kipigo
sukar alisema bado bei ikapanda
imekuaje la umeme likakushtua?
Nani anamjua mtu yeyote mkweli na msafi ccm?Wakuu, leo nimeenda kununua umeme nikapata unit 22.9 kwa elfu kumi. Wiki tatu zilizopita nilipata 28.2 kwa elfu kumi.
Sasa ina maana umeme umepandishwa kimya kimya? Rais wetu kwa uchungu kabisa si alikataza kupandishwa kwa umeme?
Hivi zile fedha zilizokuwa zinafichwa na wafanyabiashara ili kumhujumu zilishapatikana??
Au kashachapisha nyingine ili kuwakomoa??
Kutakua na shida,Wakuu, leo nimeenda kununua umeme nikapata unit 22.9 kwa elfu kumi. Wiki tatu zilizopita nilipata 28.2 kwa elfu kumi.
Sasa ina maana umeme umepandishwa kimya kimya? Rais wetu kwa uchungu kabisa si alikataza kupandishwa kwa umeme?
Wewe ni TANESCO??Unapotoa lalamiko weka.namba ya mita ya simu kiasi ulichonunua na tarehe ili tukipatie ufumbuzi
Units 22.9 KwhTunaomba namba yako ya mita tarehe uliyonunua na kiasi ulicholipa ili tukupatie ufafanuzi
Inaweza kuwa shida gani mkuu?Kutakua na shida,
Maana mi i nimenunua jioni hii, Tshs 40,000/= nimepata Units 112, means kila Unit 28 ni Tshs 10,000/=
Debt recovered ni tsh 1847.63 yaani ni deni.unalodaiwa lolopelekeamkipata unit chache za umeme.Units 22.9 Kwh
Total unit cost : Tsh6682.28
Debt Recovered : Tsh1847.63
Fixed Amount : Tsh 0.00
Tax (VAT187, EWURA 17, REA 37) : Tsh 1470.09
Total cost : Tsh 10000.00
Sikuwa na debt yoyote mimi.
Tunaomba namba yako ya mita mkuu ili unachosema tukioneUnits 22.9 Kwh
Total unit cost : Tsh6682.28
Debt Recovered : Tsh1847.63
Fixed Amount : Tsh 0.00
Tax (VAT187, EWURA 17, REA 37) : Tsh 1470.09
Total cost : Tsh 10000.00
Sikuwa na debt yoyote mimi.
namba ya mita: 24 2136 8632 2Unapotoa lalamiko weka.namba ya mita ya simu kiasi ulichonunua na tarehe ili tukipatie ufumbuzi
Mie nimenunua leo wa elfu 25, units 70.2 ambazo nimekuwa nazipata kila ninunuapo umeme wa bei hiyo na tangu walipoondoa service charge.Wakuu, leo nimeenda kununua umeme nikapata unit 22.9 kwa elfu kumi. Wiki tatu zilizopita nilipata 28.2 kwa elfu kumi.
Sasa ina maana umeme umepandishwa kimya kimya? Rais wetu kwa uchungu kabisa si alikataza kupandishwa kwa umeme?