TANESCO wamepandisha umeme?

TANESCO wamepandisha umeme?

Kutakua na shida,
Maana mi i nimenunua jioni hii, Tshs 40,000/= nimepata Units 112, means kila Unit 28 ni Tshs 10,000/=
Ni kweli mkuu elffu 40 hats Mimi nilipata unit 112! Hapo unaambiwa kodi ni 7230 kwa hiyo umeme hapo ni 32700! Tutanyooka tu
 
ILA MKUU SIKU NYINGINE UWE UNAENDA KUNUNUA UMEME KULE KULE TANESCO ILI UKIWA NA LALAMIKO LOLOTE HAPO HAPO UNAWAHOJI LAKINI UKIJINUNURISHA MTAANI WANAPATA VISINGIZIO VINGI HAWA WATU
 
Units 22.9 Kwh
Total unit cost : Tsh6682.28
Debt Recovered : Tsh1847.63
Fixed Amount : Tsh 0.00
Tax (VAT187, EWURA 17, REA 37) : Tsh 1470.09

Total cost : Tsh 10000.00


Sikuwa na debt yoyote mimi.
hahahaha sasa unasema hukuwa na deni wakati unaonesha ulikuwa nalo na wamerecover hahaha
 
Tunaomba namba yako ya mita tarehe uliyonunua na kiasi ulicholipa ili tukupatie ufafanuzi
Hivi na ile huduma ya tariff unit77 kwa elf10 hua mnailimit isivuke mwezi ama inakuaje?

Coz sina matumizi makubwa ya umeme ila zinakimbia sana... Naomba ufafanuzi pls
 
Unapaswa ujue kuna tofauti kubwa sana unaponunua umeme mwanzo wa mwezi, katikati ya mwezi na mwisho wa mwezi.
 
mtu una daiwa halafu unasema umeme umepanda...
 
Ulibadilishiwa.mita.hivyo deni.la kwenye mita ya zamani.likahamishiwa.kwenye mita mpya
 
Unapaswa ujue kuna tofauti kubwa sana unaponunua umeme mwanzo wa mwezi, katikati ya mwezi na mwisho wa mwezi.
Siku hizi ni sawa tu,
Manake Monthly Service Charge walishaifuta
 
Ulibadilishiwa.mita.hivyo deni.la kwenye mita ya zamani.likahamishiwa.kwenye mita mpya
Nililipa hela yote Tanesco.
Na tangu nianze kutumia luku mda kidogo umepita. Kwanini hawakuikata mwanzoni kama ilikuwepo?
Ila ahsante kwa ufuatiliaji mzuri mkuu.
Awamu ijayo nitaangalia unit ntakazopata.
 
Units 22.9 Kwh
Total unit cost : Tsh6682.28
Debt Recovered : Tsh1847.63

Fixed Amount : Tsh 0.00
Tax (VAT187, EWURA 17, REA 37) : Tsh 1470.09

Total cost : Tsh 10000.00


Sikuwa na debt yoyote mimi.
 
Back
Top Bottom