Hili ni tatizo kubwa wandugu, wanakata umeme saa 11 asubuhi wakati watu wanaamka kujiandaa kwenda kazini. inaudhi sana jamani. Kinachotia hasira ni kuwa tayari nilishalipia umeme kwa mwezi mzima (LUKU ELFU 40,000), lakini hawana uwezo wa kutoa huduma husika! Sheria inasemaje? Hakuna fidia kwa huu usumbufu wa kishenzi namna hii! kwa nini hatuandamani kushinikiza serikali ijiuzulu? Hivi mimi nina akili kweli. Nafanyiwa ushenzi huu nakaa kimya tuuu? Watanzania tutabadilika lini. Lazima nibadilike, niongoze maandamano kupambana na huu uchafu wa Tanesco, Stupidi!!!!!!!!!!