Tanesco Tafadhali usikate umeme usiku - SARAHA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco Tafadhali usikate umeme usiku - SARAHA

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mathematics, Jun 8, 2012.

 1. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #1
  Jun 8, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,295
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160


  Mdada wa kidhungu akikamua BONGO-FLAVA....
  Anawaomba TANESCO wasikate umeme usiku sababu mpenzi wake atakuja jioni hivyo atashindwa sikiliza radio/muziki na mpenzi wake..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,135
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Dada huyu wa Sweden kavutiwa sana na BongoBeat kiasi kwamba yeye na mumewe Fundi Samwel(Naye Mswidish) wanatumia studio yao kurekodi Bongo fleva zao. Kwa sasa wako mbioni kuandaa albamu yenye nyimbo kumi na itakuwa sokoni siku si nyingi.Sarah na Fundi Samwel wanavutia sana ukiwasikiliza.
   
 3. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Anajua kuimba huyu saraha,i ilke that song,
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 934
  Trophy Points: 280
  Napenda sana hicho kipande anaimba
  lah... lah... lah... lah... lah...
  lah... lah... lah... lah...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...