TANESCO: Taarifa ya katizo la umeme mkoa wa Temeke

pinpilojr

Member
Jul 8, 2015
59
10
KATIZO LA UMEME MKOA WA TEMEKE

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake wa Mkoa wa TemekeKuwa kutakuwa na katizo la umeme siku ya JUMANNE Novemba 24, 2015 kuanzia saa03:00 Asubuhi hadi 11:00 Jioni. SABABU ni kufanya Matengenezo katika kituo chakupoozea na kusambaza umeme cha Ilala.

MAENEO YATAKAYOATHIRIKA:
Maeneo yote ya Kigamboni, Mbagala, Kurasini, Mkuranga, Kiwanda cha Maweni na maeneo ya jirani.

Tafadhali usishike waya uliokatika, toa taarifa kupitia namba za simu zifuatazo:- Mkoa wa Temeke dawati la dharura 0712052720, 0758880155 na 0732997361 au kituo cha miito ya simu 2194400/0768 985100.

Uongozi unasikitika kwa usumbufu wowote utakaojitokeza.


Imetolewa na: OFISI YA UHUSIANO,TANESCO ? MAKAO MAKUU.
 
Back
Top Bottom