Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuuarifu umma kuwa mitambo mipya ya kuzalisha umeme ya Megawati 100 iliyoahidiwa bungeni na Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa William Ngeleja, imewasili nchini leo [12 August] na kazi ya kuifunga inaanza mara moja. Mitambo hiyo iliyokodiwa kutoka Kampuni ya Aggreko ya Mombasa (Kenya), itafungwa katika maeneo ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam ambapo kila kituo kitazalisha Megawati 50.
Umeme wa mitambo hiyo utaingia kwenye gridi ya Taifa mapema Septemba 2011. Mitambo hiyo itakayotumia mafuta itapunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la mgawo wa umeme nchini kwa kuzingatia ukweli kuwa mitambo ya Jacobsen Electro Supply kutoka Sweden itakayozalisha Megawati 100 nayo imeshaanza kufungwa Ubungo. Awali TANESCO ilikuwa ikikabiliwa na upungufu wa Megawati 260.
Hivyo kuwasili kwa mitambo ya Aggreko, kuwashwa mitambo ya IPTL inayozalisha Megawati 100, kutumika kwa Mitambo ya Symbion ya Megawati 112 na kuendelea kufungwa mitambo ya Jacobsen kunaipa TANESCO nafasi kubwa ya kumaliza tatizo la mgawo wa umeme mara baada ya kazi ya ufungaji wa mitambo hiyo itakapokamilika.
TANESCO inapenda kuwahakikishia Watanzania kwamba inafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa Mikoa yote iliyounganishwa katika gridi ya Taifa inapata umeme wa kutosha, sambamba na kupanua huduma ya usambazaji umeme kwa wateja wapya.
Imetolewa na:
Ofisi ya Mahusiano
Tanesco: Makao Makuu
hiyo mikataba ya umeme wa dharura ndiko wanakojichimbia na ufisadi wao. Tutajua baadae how much is the cost.
Megawati inatokana au ni kifupi cha nenoKwani megawati ndo nini wengine hatujui mi nachojua kuna volts za umemE au na je megawati zinaweza kutoa volti ngapi nahtj msaada
Watuhakikishie je, gharama za umeme hazitapanda???????????K Kuendesha magenerator ya mafuta Haya ndiyo mambo yatakayo fukuza wawekezaji nchini kwetu, hata kama unataka kufunga kiwanda chochote kuzalisha kitu chochote kibiashara, gharama za umeme zitakutimua. Bora ukafunga kiwanda Rwanda unauhakika wa umeme wa bei nafuu, wachumi watanielewa!!!!!!!!!!Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuuarifu umma kuwa mitambo mipya ya kuzalisha umeme ya Megawati 100 iliyoahidiwa bungeni na Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa William Ngeleja, imewasili nchini leo [12 August] na kazi ya kuifunga inaanza mara moja. Mitambo hiyo iliyokodiwa kutoka Kampuni ya Aggreko ya Mombasa (Kenya), itafungwa katika maeneo ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam ambapo kila kituo kitazalisha Megawati 50.
Umeme wa mitambo hiyo utaingia kwenye gridi ya Taifa mapema Septemba 2011. Mitambo hiyo itakayotumia mafuta itapunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la mgawo wa umeme nchini kwa kuzingatia ukweli kuwa mitambo ya Jacobsen Electro Supply kutoka Sweden itakayozalisha Megawati 100 nayo imeshaanza kufungwa Ubungo. Awali TANESCO ilikuwa ikikabiliwa na upungufu wa Megawati 260.
Hivyo kuwasili kwa mitambo ya Aggreko, kuwashwa mitambo ya IPTL inayozalisha Megawati 100, kutumika kwa Mitambo ya Symbion ya Megawati 112 na kuendelea kufungwa mitambo ya Jacobsen kunaipa TANESCO nafasi kubwa ya kumaliza tatizo la mgawo wa umeme mara baada ya kazi ya ufungaji wa mitambo hiyo itakapokamilika.
TANESCO inapenda kuwahakikishia Watanzania kwamba inafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa Mikoa yote iliyounganishwa katika gridi ya Taifa inapata umeme wa kutosha, sambamba na kupanua huduma ya usambazaji umeme kwa wateja wapya.
Imetolewa na:
Ofisi ya Mahusiano
Tanesco: Makao Makuu
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuuarifu umma kuwa mitambo mipya ya kuzalisha umeme ya Megawati 100 iliyoahidiwa bungeni na Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa William Ngeleja, imewasili nchini leo [12 August] na kazi ya kuifunga inaanza mara moja. Mitambo hiyo iliyokodiwa kutoka Kampuni ya Aggreko ya Mombasa (Kenya), itafungwa katika maeneo ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam ambapo kila kituo kitazalisha Megawati 50.
Umeme wa mitambo hiyo utaingia kwenye gridi ya Taifa mapema Septemba 2011. Mitambo hiyo itakayotumia mafuta itapunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la mgawo wa umeme nchini kwa kuzingatia ukweli kuwa mitambo ya Jacobsen Electro Supply kutoka Sweden itakayozalisha Megawati 100 nayo imeshaanza kufungwa Ubungo. Awali TANESCO ilikuwa ikikabiliwa na upungufu wa Megawati 260.
Hivyo kuwasili kwa mitambo ya Aggreko, kuwashwa mitambo ya IPTL inayozalisha Megawati 100, kutumika kwa Mitambo ya Symbion ya Megawati 112 na kuendelea kufungwa mitambo ya Jacobsen kunaipa TANESCO nafasi kubwa ya kumaliza tatizo la mgawo wa umeme mara baada ya kazi ya ufungaji wa mitambo hiyo itakapokamilika.
TANESCO inapenda kuwahakikishia Watanzania kwamba inafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa Mikoa yote iliyounganishwa katika gridi ya Taifa inapata umeme wa kutosha, sambamba na kupanua huduma ya usambazaji umeme kwa wateja wapya.
Imetolewa na:
Ofisi ya Mahusiano
Tanesco: Makao Makuu
Same song different tuneShirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuuarifu umma kuwa mitambo mipya ya kuzalisha umeme ya Megawati 100 iliyoahidiwa bungeni na Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa William Ngeleja, imewasili nchini leo [12 August] na kazi ya kuifunga inaanza mara moja. Mitambo hiyo iliyokodiwa kutoka Kampuni ya Aggreko ya Mombasa (Kenya), itafungwa katika maeneo ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam ambapo kila kituo kitazalisha Megawati 50.
Umeme wa mitambo hiyo utaingia kwenye gridi ya Taifa mapema Septemba 2011. Mitambo hiyo itakayotumia mafuta itapunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la mgawo wa umeme nchini kwa kuzingatia ukweli kuwa mitambo ya Jacobsen Electro Supply kutoka Sweden itakayozalisha Megawati 100 nayo imeshaanza kufungwa Ubungo. Awali TANESCO ilikuwa ikikabiliwa na upungufu wa Megawati 260.
Hivyo kuwasili kwa mitambo ya Aggreko, kuwashwa mitambo ya IPTL inayozalisha Megawati 100, kutumika kwa Mitambo ya Symbion ya Megawati 112 na kuendelea kufungwa mitambo ya Jacobsen kunaipa TANESCO nafasi kubwa ya kumaliza tatizo la mgawo wa umeme mara baada ya kazi ya ufungaji wa mitambo hiyo itakapokamilika.
TANESCO inapenda kuwahakikishia Watanzania kwamba inafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa Mikoa yote iliyounganishwa katika gridi ya Taifa inapata umeme wa kutosha, sambamba na kupanua huduma ya usambazaji umeme kwa wateja wapya.
Imetolewa na:
Ofisi ya Mahusiano
Tanesco: Makao Makuu
<br /><font color="#0000CD"><font size="3"><b>Watuhakikishie je, gharama za umeme hazitapanda???????????K Kuendesha magenerator ya mafuta Haya ndiyo mambo yatakayo fukuza wawekezaji nchini kwetu, hata kama unataka kufunga kiwanda chochote kuzalisha kitu chochote kibiashara, gharama za umeme zitakutimua. Bora ukafunga kiwanda Rwanda unauhakika wa umeme wa bei nafuu, wachumi watanielewa!!!!!!!!!!</b></font></font>
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuuarifu umma kuwa mitambo mipya ya kuzalisha umeme ya Megawati 100 iliyoahidiwa bungeni na Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa William Ngeleja, imewasili nchini leo [12 August] na kazi ya kuifunga inaanza mara moja. Mitambo hiyo iliyokodiwa kutoka Kampuni ya Aggreko ya Mombasa (Kenya), itafungwa katika maeneo ya Ubungo na Tegeta jijini Dar es Salaam ambapo kila kituo kitazalisha Megawati 50
Umeme wa mitambo hiyo utaingia kwenye gridi ya Taifa mapema Septemba 2011. Mitambo hiyo itakayotumia mafuta itapunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la mgawo wa umeme nchini kwa kuzingatia ukweli kuwa mitambo ya Jacobsen Electro Supply kutoka Sweden itakayozalisha Megawati 100 nayo imeshaanza kufungwa Ubungo. Awali TANESCO ilikuwa ikikabiliwa na upungufu wa Megawati 260.
Hivyo kuwasili kwa mitambo ya Aggreko, kuwashwa mitambo ya IPTL inayozalisha Megawati 100, kutumika kwa Mitambo ya Symbion ya Megawati 112 na kuendelea kufungwa mitambo ya Jacobsen kunaipa TANESCO nafasi kubwa ya kumaliza tatizo la mgawo wa umeme mara baada ya kazi ya ufungaji wa mitambo hiyo itakapokamilika.
TANESCO inapenda kuwahakikishia Watanzania kwamba inafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa Mikoa yote iliyounganishwa katika gridi ya Taifa inapata umeme wa kutosha, sambamba na kupanua huduma ya usambazaji umeme kwa wateja wapya.
Imetolewa na:
Ofisi ya Mahusiano
Tanesco: Makao Makuu
<br />Mi huwa navutiwa na hesabu na FIGA za megawati,hadi raha