Baba Collins
JF-Expert Member
- Sep 24, 2011
- 502
- 106
Kwa nini viongozi wetu kila siku wanapenda kushughulikia dharura,dharura!
WaTz tumeibiwa sana tu.
Nadhani sasa mtaamini kuwa Ngeleja hayupo pale bahati mbaya ila kawekwa na Chief Maker (RA) and company kwa kazi maalum na muda maalum hadi lengo maalum litimie. Sitashangaa kama hata likitokea badiliko la baraza la mawaziri akabagi hapo hapo. Tanzania ni moja ya nchi zenye umeme unaouzwa ghali sana Afrika licha ya kuwa na hydro power na umeme wa gas. Yet Tanesco is operating on loss!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Halafu watu hao hao wanataka kuloby wapate miaka mingine 10 ili watuuze sisi na baba zetu na mama zetu na watoto wetu na wajukuu zetu???
Hatushauriwi kuombea kifo lakini kwa hili inabidi tufunge na kusali ili play makers wote wafe kabla ya 2015 au wawe physically unfit to play their dirty games. May almighty GOD hear us on this!!!!!!
Wa moja havai mbili!..nimeamini hili leo!
Hizi Megawati zote zinazosomwa kwenye makaratasi zinaishiaga wapi?
Isidingo the need.......
Ni
bora, sasa atajua uchungu wananchi wanaoupata... wakati wa JK Nyerere
Wakurugenzi walikuwa hawana Genereta