Kwa hiyo Raisi wetu kwenye hio slogan ya UKIMWI amefanikiwa?
Hiyo slogan ya ukimwi imegeuzwa kuwa madili ya watu kujineemesha.Kwa hiyo Raisi wetu kwenye hio slogan ya UKIMWI amefanikiwa?
Kwa hiyo Raisi wetu kwenye hio slogan ya UKIMWI amefanikiwa?
JS mdogo wangu,Suala la Umeme ni tofauti na ukimwi.Atleast ameweza kutengeneza awareness kwa watu na wadau husika. Ngoja nikuambie Nguli, ile ya ukimwi si alisema mwenyewe JK kwa hiyo ikapewa uzito zaidi. kwa hiyo na ya umeme akisema itapewa uzito.
Tatizo ni kuwa tutampata wapi mtu kama huyo?mwenye moyo wa kijeshijeshi.Basi somebody should make hiyo dangerous decision haraka.
Hapa nimekugongea kale kakitu! tunahitaji maamuzi ya hatari, sio magumu!!JS mdogo wangu,Suala la Umeme ni tofauti na ukimwi.
Halihitaji awareness linahitaji DECISIONS( DANGEROUS DECISIONS)
TANESCO wana matatizo yao ynayochangia hali hii,lakini matatizo makubwa yapo Serikalini(siasa tena za kimaslahi binafsi zimezidi)Tanesco wanapaswa kubadilisha slogan yake kuwa "
Tanesco: we frustrate the economy"
Wajasiriamali na biashara nyingi zinakufaa kwa sababu ya Tanesco, tunahitaji kampuni nyingine ya uzalishaji na usambazaji wa umeme
Imagine hapa nilipo umeme unarudi usiku, lakini ndipo ilipo workshop yangu ya kuchana mbao, wafanyakazi wanacheza pooltable na draft, mwisho wa mwezi natakiwa kuwalipa.Tanesco wanapaswa kubadilisha slogan yake kuwa "
Tanesco: we frustrate the economy"
Wajasiriamali na biashara nyingi zinakufaa kwa sababu ya Tanesco, tunahitaji kampuni nyingine ya uzalishaji na usambazaji wa umeme
umeme bongo ni luxury service, tulipoambiwa tufunge mikanda ni pamoja na kuukosa huo umeme, si mliambiwa chanzo ni Dk. Rashid , sasa hayupo tutafute sababu zingine za kijifariji ili siku zisonge, wabongo hawataki umeme, wakipewa sababu tu za kuukosa wana thumb up, tumeambiwa kuna Major repair tusharidhika!!