KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,067
Nilivyoelewa ni kwamba wameomba radhi hivyo wanawarudisha wale ambao kuna makosa yalifanyika, au mi ndio sielewagi upesi?Taarifa kwa umma kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikielezea kuhusu uhamishwaji wateja kutoka kundi la matumizi madogo ya umeme (D1) kwenda kwenye kundi la matumizi ya kati (T1).
Aidha, @tanescoyetu imeomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza.
View attachment 1872426