Tanesco nao waanza kuwanyoosha wapiga kura. Hivi Rais anayaona haya?

Malipo ya Ankara Na: ******** hayajafanikiwa.Unahitaji Kupata Key Change. Wasiliana na TANESCO kwa 0768985100

Ukiona hio meseji jua umeshaingia uchumi wa kati wa CCM,Ukinunua umeme wa 10,000 unapata unit 25 Sio 75 tena.

Hii kitu nimekutana nayo leo,hapa tunalipia watu watembelee kwenye Mavieitee,serikali ya wezi hii
 
Heheheheh hii unatekenywa unacheka kisha unafyatuliwa kidole kimoja na panga kali 😅

We jamaa umepigwa ban lakin bado unecoment kweli kila kitu kina sululisho.

Nipe njia ya kukwepa kulipia Kodi ya jengo kwenye luku katika nyumba isiyo yangu yangu bila mm kujenga, Ile simu nishamalizana nao wananikata buku tuu kila nikitoa
 
Malipo ya Ankara Na: ******** hayajafanikiwa.Unahitaji Kupata Key Change. Wasiliana na TANESCO kwa 0768985100

Ukiona hio meseji jua umeshaingia uchumi wa kati wa CCM,Ukinunua umeme wa 10,000 unapata unit 25 Sio 75 tena.

Hii kitu nimekutana nayo leo,hapa tunalipia watu watembelee kwenye Mavieitee,serikali ya wezi hii
Huu ujumbe nimetumiwa muda huu,nilipojaribu kununua umeme.Kesho nitaenda ofisi za tanesco kuingizwa rasmi kwenye uchumi wa kati( elf 10 napata unit 28) ,ilihali elf 9 nilikuwa napata unit 72.
 
Huu ujumbe nimetumiwa muda huu,nilipojaribu kununua umeme.Kesho nitaenda ofisi za tanesco kuingizwa rasmi kwenye uchumi wa kati( elf 10 napata unit 28) ,ilihali elf 9 nilikuwa napata unit 72.
Hapo huna namna mkuu,ndipo tulipofikia
 
Issue ya bei ya umeme imekaa kiubaguzi sana. Kuna watu wanauziwa umeme kwa bei kubwa na wengine kidogo. Kuna upuuzi mwingi sana kwenye hii idara ya umeme. Mimi nadhani anayetumia zaidi ndo angepunguziwa bei hili kufanya atumie umeme zaidi. badala yake ndo anaye adhibiwa zaidi. Huo ni ujima.
 
Wanaccm wako busy kuimba mbowe gaidi wao hawana habari na kodi kupanda kila mahali
 
CCm Kama chama kilishajifia siku nyingi. Sasa hivi Kuna dola iliyojivika koti la CCM
Hao waliokuwa wanalipwa umeme wa bei cheers wengi wao ndo wapiga kura wa CCM.... mi naona waongeze tena kidogo tuheshimiane...
 
Tushishangae ile service charge ya 5,000+ per month ikirejeshwa.
 
Back
Top Bottom