Tanesco na ukistajabu ya musa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco na ukistajabu ya musa...

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by frema120, May 28, 2012.

 1. frema120

  frema120 JF-Expert Member

  #1
  May 28, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 5,103
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Habar toka ndani ya shirika hili inasema, katizo la umeme ni amri toka juu yao kwasababu zifatazo...
  1. Kuruhusu wakubwa kuuza mafuta kwa wingi
  2. Kuruhusu wahindi/wakubwa kuuza magenaretor na solar system

  Sasa nimechanganyikiwa kweli ni ndani ya nchi yangu yanatokea hayaaaaaa.....

  Tufanye nini sisi wanyonge kama sasa tu wamerudisha umeme tangu saa 5 asubuhii..??????

  Je tusubiri mpaka T2015CDM..???

  SOURCE: Mjumbe wa board..
   
 2. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #2
  May 28, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hayo ndio maisha bora kwa watu wote.......
   
 3. chaUkucha

  chaUkucha JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 3,223
  Likes Received: 298
  Trophy Points: 180
  nchi ishauzwa
   
 4. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,923
  Likes Received: 631
  Trophy Points: 280
  Huu ni udaku.

  kwanza ningekua mod hii thread ningeifuta.
   
 5. Mracho Ngongoti

  Mracho Ngongoti Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 90
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 15
  Ni sawa na mauaji ya halaiki
   
Loading...