Tanesco na muziki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanesco na muziki

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by peri, Jul 9, 2011.

 1. peri

  peri JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,588
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Majuzi nimeingia makao makuu ya tanesko kilimamnjaro nakakuta muziki wa injili unapigwa kwa sauti ya juu sana ofisini. Naomaba kujua sheria za kazi zinasemaje juu ya uhuru wa mfanyakazai anapokuwa ofisini na mipaka yake.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Siku hizi kila kitu ruksa! Kila ofisi siku hiz zina screen kuuubwa! Ni maamuzi tu na busara ya wahusika kupunguza sauti kutodisturb wengine
   
Loading...