TANESCO mbona unatupa stress kiasi hiki?

TANESCO mbona unatupa stress kiasi hiki?

Mbna Huku hkn hayo Mambo umeme 24/7 Niko dodoma

Huku tanesco hawezi kufanya ujinga huo ,Huku wanaishi vibopa na mawziri na vigogo

Karibu ilazo dodoma
 
Kama unahujiwa na unahujumika basi pale juu haufai. SSH ajiulize kuwa kwake pale ni kwa faida ya nani?

Yaani hili la umeme linamshinda?? Kila siku anadanganywa na TANESCO nayeye anakubali tu??
 
Nimekuita mara 4, TANESCO hakika hili shirika linaboa,linatutesa hatari,mvua inyeshe na isinyeshee katikakatika ipo pale pale

Pooooooh!! TANESCO mbona unatupa stress kiasi hicho
Watu washaseti mambo yao.. madili yanazidi kutiki ...
 
Mvua ingekuwa hainyeshi, wangesingizia ukame. Sasa ndo tutajua hatujui watu tuliowakabidhi majukumu kwamba hawana uwezo wa kufanya wajibu wao.

Hawajui vipaumbele kama taifa wao wako kwenye ziara ulaya na kununua mashangingi. Kiufupi wanaishi maisha ya anasa huku walipakodi wakiishi kama mashetani huku wakiwapigia makofi kama majuha[emoji3]
 
Tanzania tu watu wengi hawajui sheria ila nchi za watu wangepelekwa mahakamani kwa kutia watu hasara.
 
Back
Top Bottom