TANESCO Mbezi ni jipu

TANESCO Mbezi ni jipu

BABA E's

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
354
Reaction score
136
Maeneo ya Kimara tumekuwa na matatizo ya kukatikakatika umeme mara kwa mara bila ya taarifa yoyote zaidi ya mwezi sasa, na uweza kurudi hata baada ya masaa 24.

Tatizo ni pale ukipiga namba yao ya simu (0788 379 696) mara nyingi huwa ipo bize au itaita tu bila kupokelewa (Jaribu hata sasahivi), unashangaa unapiga haipokelewi, ukipiga tena ipo bize, ukijaribu tena inaita tu bila kupokelewa.

Limekuwa tatizo lao la muda mrefu, wachunguzwe!.
 
Poleni sana masaa 24 ? hiyo ni problem kubwa ya Tanesco
 
Back
Top Bottom