Tanesco iige mfano kwa Idara ya Maji

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Idara ya maji unapovuta bomba unaligharamia na linakuwa mali yako. Mtu hawezi kuingiza maji kwa kutumia mpira uliougharamia bila mawasiliano au ruhusa yako, tofauti na Tanesco unapotaka kuingiza umeme utaambiwa ugharimie nguzo, some times hata nguzo zaidi ya nne.

Cha ajabu ni kuwa ukishavuta umeme unakuwa huna mamlaka na nguzo ambazo umegharamia kwani mtu yeyote anaweza kuingiza umeme kwa kupitia nguzo ulizogharamia wewe bila fidia yeoyote hata kama mwanzoni alikataa kushirikiana nawe kwenye gharama!
 
Back
Top Bottom