ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,552
Ni karibu saa 1 sasa umeme umekatika huku mbagala kijichi nadhani ni eneo kubwa tu huku tmk,ni majuzi tu tumetoka ktk shida ya umeme kwa zaidi ya wiki wakatatua tatizo haya leo bila taarifa umekatika,sasa la kujiuliza tanesco huwa wanasema ni hitilafu sasa kwa miaka mingi sana sababu ni hizo hitilafu basi waende nje ya nchi kwa wenzetu waloendelea kupata uzoefu na kubadili mitambo maana huko wale hukaa hata 15 yrs pasipo umeme kukatika,kweli hili swala lifikie mwisho sasa ktk zama hizi digital