Yani jamaa hata leo sikuku nipo home na familia watoto wamefurahi gafla wamekata hii ni mara ya tatu huu ni ujinga wa hali ya juu.