HERI ya PASAKA na NINYI PIA. Ila msikate umeme tafadhali.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka kwa Niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa TANESCO anawatakia nyote Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
Aidha, anawasihi Wateja na Umma kuwa waangalifu na kuwa mbali na miundombinu ya umeme hasa katika kipindi hiki cha mvua, na kutoa Taarifa kwa TANESCO mara inapotokea hitilafu.
IWE SIKUKUU YA HERI NA FURAHA KWETU SOTE
Najua mnafanya kazi nzuri licha ya changamoto nyingi mlizo nazo!! Hivi inakuwaje mnalalamika kuwa mapato hayatoshi huku kuongeza idadi ya watumiaji umeme hamtaki? Mfano mimi nimelipia kuunganishiwa umeme. Nguzo mbili tangu january 017!!kila nikienda naambiwa nguzo hakuna labda rudi mwezi wa sita kweli mko serious na kuongeza mapato?? Hiki kilio cha kukosekana nguzo ni cha nchi nzima. Yaani mtu unahitaji kitu wanakupa gharama zao unalipia bado uanze kuhangaishwa njoo kesho.Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Dkt. Tito E. Mwinuka kwa Niaba ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa TANESCO anawatakia nyote Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
Aidha, anawasihi Wateja na Umma kuwa waangalifu na kuwa mbali na miundombinu ya umeme hasa katika kipindi hiki cha mvua, na kutoa Taarifa kwa TANESCO mara inapotokea hitilafu.
IWE SIKUKUU YA HERI NA FURAHA KWETU SOTE
Jina ulilolipiaNajua mnafanya kazi nzuri licha ya changamoto nyingi mlizo nazo!! Hivi inakuwaje mnalalamika kuwa mapato hayatoshi huku kuongeza idadi ya watumiaji umeme hamtaki? Mfano mimi nimelipia kuunganishiwa umeme. Nguzo mbili tangu january 017!!kila nikienda naambiwa nguzo hakuna labda rudi mwezi wa sita kweli mko serious na kuongeza mapato?? Hiki kilio cha kukosekana nguzo ni cha nchi nzima. Yaani mtu unahitaji kitu wanakupa gharama zao unalipia bado uanze kuhangaishwa njoo kesho.
Tupo kukusikiliza unaweza kutupatia taarifa zako za nini tukifanyie.kaziHakuna shirika lina nikera kama hili nchi hii
Siku zoteKumbe mpo humu siku zote au sikukuu tu?
TANESCO njooni mchukue nguzo moja jirani na kwangu kuna nguzo mmeweka lkn haina kitu, imewekwa kimakosa. Tulio jirani na nguzo hiyo wote tuna umeme kutoka nguzo zingine. Nguzo ipo inanyeshewa.Najua mnafanya kazi nzuri licha ya changamoto nyingi mlizo nazo!! Hivi inakuwaje mnalalamika kuwa mapato hayatoshi huku kuongeza idadi ya watumiaji umeme hamtaki? Mfano mimi nimelipia kuunganishiwa umeme. Nguzo mbili tangu january 017!!kila nikienda naambiwa nguzo hakuna labda rudi mwezi wa sita kweli mko serious na kuongeza mapato?? Hiki kilio cha kukosekana nguzo ni cha nchi nzima. Yaani mtu unahitaji kitu wanakupa gharama zao unalipia bado uanze kuhangaishwa njoo kesho.
Wewe upo wapi huko kwenye ukame? Poleni sana.Mie nawapa hongera sana
Kwa ukame huu hatujatangaziwa Mgao
hongereni sana
naona tunaelekea Kuzuri
Mvua zimeanza sasahivi tuWewe upo wapi huko kwenye ukame? Poleni sana.
Karibu sikukuuMvua zimeanza sasahivi tu
lalini kwa miaka ya nyuma
tungepokea mgao wakufa mtu