Kauli hiyo ya Zitto aliyoitoa kupitia mtandao wa mijadala wa Jamii, imekuja ikiwa ni baada ya gazeti hili kubainisha kuwa jina la Idris limepenyezwa Ikulu ili ateuliwe kuendelea na wadhifa huo, hali ambayo imesababisha mgawanyiko katika Bodi ya Tanesco ambako baadhi ya wajumbe wameukana uamuzi huo kuwa si wao.
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja naye alisema akirejea nchini atachunguza suala hilo kwani inawezekana hata yeye amerukwa kwa kutofahamishwa mchakato huo. Ngeleja kwa sasa yuko na Rais Jakaya Kikwete, nchini Jamaica na baadaye watakwenda visiwani Trinidad na Tobago.
"Umpende usimpende Rashidi, ni one of the best CEOs of our Parastatals (mmoja wa viongozi bora zaidi wa mashirika yetu ya Umma)," amesema mbunge huyo machachari kwenye mjadala mkali unaoendelea kuhusu sakata la Rashidi kupitia kwenye tovuti ya www.jamiiforums.com.
sawa.Kwa vile mimi ndiyo niliweka post hii, naomba kuwajulisha kuwa kwenye habari hiyo ya Kulikoni kuna attribution kuwa mjadala huo wa Dk. Rashidi uko kwenye JF. Nadhani pia kwa wanaosoma Kulikoni kila mara wanafahamu kuwa gazeti hilo mara nyingi hawaweki majina ya waandishi wao hadharani
Eti Mwandishi wetu Dar!! Unajificha ficha unaogopa nini kuweka jina lako kama una uhakika na unachoandika?
Mwandishi ameishiwa. hana maana.
Jamani lazima tukumbuke Zitto ni mtanzania kama wananchi wengine. na vile vile tunatakiwa tujuwe Zitto hayupo juu ya sheria za nchi. Yeye anao uhuru wa kutoa maazo yake kama mtanzania yoyote ili mradi tu asivunje sheria za nchi.
Kwa hakika hata mimi na kwa ninavyomfahamu Dr Idriss siwezi amini kabisa kama aneeza fanya mabaya dhidi ya Tanesco. Hata vyombo vyenu vya habari vya huko vimesema wazi kuwa Dr anapendwa sana na wafanyakazi wa chini na anachukiwa na mameneja. Sababu kuu ni kuwapunguzia posho zao walizojiwekea na kuwalipa wafanyakazi wa kawaida.
nakuunga mkono Zitto kwa kuona wazi juhudi na kazi zote na maamuzi sahihi ya Dr Idrissa.
Tuache siasa kwenye kitu cha kitaalamu.
Kwa vile mimi ndiyo niliweka post hii, naomba kuwajulisha kuwa kwenye habari hiyo ya Kulikoni kuna attribution kuwa mjadala huo wa Dk. Rashidi uko kwenye JF. Nadhani pia kwa wanaosoma Kulikoni kila mara wanafahamu kuwa gazeti hilo mara nyingi hawaweki majina ya waandishi wao hadharani
ina maana KULIKONI hawana jina la MWAANDISHI ? wanaogopa nini?
oili inamaaan hawa kulikoni hawawezi kuandika JAMIIFORUMS.COM
its about tgime wan JF mkahit back on these people
Zitto ampigia debe
Dk. Rashidi Tanesco
MWANDISHI WETU, Dar es Salaam
"Umpende usimpende Rashidi, ni one of the best CEOs of our Parastatals (mmoja wa viongozi bora zaidi wa mashirika yetu ya Umma)," amesema mbunge huyo machachari kwenye mjadala mkali unaoendelea kuhusu sakata la Rashidi kupitia kwenye tovuti ya www.jamiiforums.com.
SOURCE: KULIKONI, Novemba 27, 2009
Zito, umeanza lini kua muoga kwenye mambo yanayogusa maslahi ya taifa, katika mchakato wakuutetea ukweli wako mashujaa walio kufa na kutengwa na jamii zao, lakini baadae ukweli ulipodhihiri waliibuka kua mashujaa wakubwa sana, sasa nakutakia kila la heri katika harakati zako.Kuandika habari kutoka JF sio tatizo na inasaidia kutangaza JF. Hata hivyo kuandika habari maliciously kutatufanya wengine tuogope kutoa mawazo yetu kwa uhuru humu katika jukwaa letu.
Habari hii imeandikwa kwa nia mbaya.
Sasa itabidi niwe msomaji tu JF. Endeleeni na mijadala bandugu.
Zitto
Walishindwa nini kukutafuta wewe binafsi badala ya kudokoa maoni yako hapa?Kuandika habari kutoka JF sio tatizo na inasaidia kutangaza JF. Hata hivyo kuandika habari maliciously kutatufanya wengine tuogope kutoa mawazo yetu kwa uhuru humu katika jukwaa letu.
Habari hii imeandikwa kwa nia mbaya.
Sasa itabidi niwe msomaji tu JF. Endeleeni na mijadala bandugu.
Zitto
Kuandika habari kutoka JF sio tatizo na inasaidia kutangaza JF. Hata hivyo kuandika habari maliciously kutatufanya wengine tuogope kutoa mawazo yetu kwa uhuru humu katika jukwaa letu.
Habari hii imeandikwa kwa nia mbaya.
Sasa itabidi niwe msomaji tu JF. Endeleeni na mijadala bandugu.
Zitto
Siasa...........! tungeacha mashirika yakawa na bodi huru na kuziwekea malengo na kuzipima kutokana na malengo mashirika haya yangeenda vizuri sana. Siasa zinaingia sana na huyu Rashidi ni mmoja wa CEOs anayewakatalia wanasiasa waziwazi. Wanamchukia sana. Mfano kawaambia Wizara walipe pango la jengo la TANESCO, wizara eti hawataki..... CCM nao wameng'ang'ania Rest House ya TANESCO dodoma, amewatimua. Wamekasirika. Basi ni matatizo tu..... Sasa kwenye kampeni wanataka waweke CEO goigoi awape pesa maana Rashidi hatakubali na wao wameshazoea.....
Kuandika habari kutoka JF sio tatizo na inasaidia kutangaza JF. Hata hivyo kuandika habari maliciously kutatufanya wengine tuogope kutoa mawazo yetu kwa uhuru humu katika jukwaa letu.
Habari hii imeandikwa kwa nia mbaya.
Sasa itabidi niwe msomaji tu JF. Endeleeni na mijadala bandugu.
Zitto
Zito kisha kapoteza mwelekeo siku nyingi ninyi hamjui tu. kisha nunuliwa, hana kauli yake tena. Msimamo wote umeyeyuka.