TANESCO board split on MD Rashidi's fate

Mdondoaji

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
5,108
1,136
By ThisDay Reporter
25th November 2009

An intense lobby is underway for the reappointment of current Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) Managing Director Dr Idris Rashidi to continue in the post despite mounting allegations against him, THISDAY has learnt.

Rashidi's contract is scheduled to expire this month after serving at the helm of the state-run power utility for the past three years. His is a presidentially-appointed position.

Among various other things, the former Bank of Tanzania (BoT) governor has been named by Britain's Serious Fraud Office (SFO) over alleged involvement in the military radar scandal.

Rashidi himself was recently quoted as saying that he plans to retire from the troubled power company once his current contract expires, and has no interest whatsoever in extending the contract.

But well-placed sources have now told THISDAY that various individuals who may have influenced his initial appointment to the TANESCO position back in 2006, are now seeking to ensure he continues as MD and thus maintain a 'status quo' at the company.

Rashidi was appointed as TANESCO chief executive officer at the height of the Richmond power generation scandal.

According to these sources, the TANESCO board of directors chaired by Peter Ngumbulu has already formally recommended the re-appointment of Rashidi - but under controversial circumstances.

“As far as I understand, the (TANESCO) board has sent its recommendation in favour of Rashidi to President (Jakaya) Kikwete...but this was done without the consent and consensus of all members (directors) of the board,” an official close to the power utility told THISDAY.

Ngumbulu was yesterday not available for comment on the implication of a split amongst TANESCO board members (directors) over the Rashidi issue, while acting board chairman Adolar Mapunda flatly declined to comment.

"I can't comment anything on that. Talk to the board chairman (Ngumbulu),” said Mapunda when reached by THISDAY.

Other members of the TANESCO board of directors are Victor Mwambalaswa, Agnes Bukuku, Juma Bakari, Vintan Mbiro, Semindu Pawa, Beatus Segeja, and Ngosi Mwihava.

Various government insiders have strongly suggested that the fact that Rashidi is the target of a serious corruption investigation into the military radar transaction should be enough to disqualify him from continued public service.

"He (Rashidi) obviously lost all credibility to be the head of TANESCO after being interrogated by SFO officials over his role in the radar corruption scandal,” said one government official.

Apart from the radar corruption investigation, Rashidi is also widely believed to have “displayed major leadership weakness”, in the words of another government insider, in pushing so hard for the purchase of rusty power generators from Dowans Holdings AS which inherited the Richmond contract.

The Ministry of Energy and Minerals is also understood to have been looking into allegations that Rashidi personally ordered the costly rehabilitation of houses owned by TANESCO, so he could purchase the property cheaply from the public utility.

More recently, the TANESCO boss has been roundly criticized by the parliamentary energy and minerals committee, and the public at large, over the passive manner in which the public utility has handled ongoing power blackouts.

Rashidi famously declared that he would neither accept responsibility nor blame for the rolling power blackouts, simply because his controversial plans to purchase the second-hand Dowans turbines at a highly-inflated cost were rejected.

It has been reported that more than 50 individuals had applied for the soon-to-be vacant post of TANESCO managing director by the application deadline of October 2 this year.

A special committee formed by the TANESCO board of directors to process the applications is understood to have come up with a short-list of three names.

Board chairman Ngumbulu was recently quoted by a government-owned newspaper as showering lavish praise on Rashidi and asserting that the controversial MD had enough merits to re-apply for the job.

These comments have raised speculation in government circles that Ngumbulu, as board chair, is among those in favour of Rashidi's re-appointment.

What is wrong with this guy??? So much allegation without proof!!! Is it true or majungus???
 
Hana umakini wowote kwani nakumbuka akiwa Gavana wa Bank kuu kulikuwa na Bank moja inaitwa Meridian Biao Bank na ikafilisika na nadhani tetesi zilianzania Amerika ya Kusini kuwa imafilisika na Idrisa Rashid akaitetea sana kuwa hapa Tanzania ipo imara lakini baada ya muda ikafilisika
 
Other members of the TANESCO board of directors are Victor Mwambalaswa, Agnes Bukuku, Juma Bakari, Vintan Mbiro, Semindu Pawa, Beatus Segeja, and Ngosi Mwihava.

Hivi hawa wote kuna hata mmoja mwenye ABC za mambo ya umeme?
 
Labda alikuwa makini siku hizo. Siku hizi bado yuko vile vile huyu mheshimiwa?
 
Makini kwa nini kwa mgawo wa umeme au kununua kununua samani kwa milioni 50??

Mimi nilifanya kazi kwa karibu sana na Dr Rashid. lakini all in all itazameni NMB alivyoibeba na hata kuifanya pesa hata BOT kuifanya atleast pesa ya Tanzania kuwa stable ( pitia miaka mitatu kabla kuwa Gavana na miaka mitatu baada ya kuondoka ugavana).

Sasa hivi ni mwenyekiti wa Nafikiri bank ya Azania. Ni mtu anayeaminika sana katika fani ya Finance.

Kila Bin'Adam ana upungufu wake lakini sifa zake lazima tumpe.

Labda sijui siku hizi huko Tanzania. lakini zamani Shirika kama hilo la Umma, Dg ni kama kibarua tu kuna wengi sana wanamkono wao ndani ya shirika na hata DG anapokea maelekezo tu na yeye anabaki kuwa mtekelezaji.
Kuna Waziri, katibu Mkuu, akurugenzo wengi tu wa Wizara nishati, Mwenyekiti wa Bodi , wanasiasa ambao wajumbe wa bodi. hao wote wanamwongoza DG.

Sasa hata akiwa na jipya halina nafasi na yeye kubaki kama mlalamikiwa.

Tukumbuke siku za nyuma alitoa mpaka notice ya kujiuzuru sababu ya wakubwa wengi kumwingilia shughuli zake.

Dr nakuheshimu sana na nakuamini kwa umakini wako...........tumpe mwingine tuone atafanyani?
 
Other members of the TANESCO board of directors are Victor Mwambalaswa, Agnes Bukuku, Juma Bakari, Vintan Mbiro, Semindu Pawa, Beatus Segeja, and Ngosi Mwihava.

Hivi hawa wote kuna hata mmoja mwenye ABC za mambo ya umeme?

Hapana bana.... Mh Victor Mwambalaswa na mmiliki shirikishi kwenye "mradi" wa umeme wa upepo akiwa na "mpiganaji" Dr Harrison Mwakyembe.
 
What is wrong with this guy??? So much allegation without proof!!! Is it true or majungus???

Pre-emptive strategy...........!

Umpende usimpende Rashidi, ni one of the best CEOs of our Parastatals.
 
Other members of the TANESCO board of directors are Victor Mwambalaswa, Agnes Bukuku, Juma Bakari, Vintan Mbiro, Semindu Pawa, Beatus Segeja, and Ngosi Mwihava.

Hivi hawa wote kuna hata mmoja mwenye ABC za mambo ya umeme?

Au angalau energy economics. Makamu mwenyekiti wa Bodi ni Semindu Power.
 
Pre-emptive strategy...........!

Umpende usimpende Rashidi, ni one of the best CEOs of our Parastatals.
Kwa hiyo mheshimiwa Zitto unataka kuniambia haya matatizo ya Tanesco hayatokani na bad management ya Tanesco? au Siasa zimezidi Uwezo?
 
Dr. Rashid sidhani kama ni mzuri kiivyo kwani kama angekuwa hivyo alivyo hii miaka 3 tungeona kitu fulani. Kwani kwa position yake anaweza kutoa ushauri wa kipi kifanyike na kama hakikufanyika anajua nini cha kufanya. Kama ni kweli is a man of principles kama baadhi walivyo mnadi.

Iko wazi mtu unapokuwa sehemu ile ni CV unatengeneza na kama wewe ni mtu wa viwango si wa siasa kama Dr. Rashid angejiuzuru. Na kuweka wazi kuwa hawezi kufanya kazi kwenye shirika hilo mpaka vitu abc virekebishwe. Siyo kujiuzuru kama ule mkwara aliopiga kipindi fulani hapo nyuma.

Je tangu ameingia kuna lipi la zaidi alilofanya? Kama alifanikiwa BOT may be kulikuwa na team nzuri nyuma yake? Japo ingekuwa vizuri hayo mazuri yake yakawekwa wazi tukayajua vizuri. Matatizo ya umeme ni yale yale na mpaka leo hii. Kama ameamua kufa kibudu then means yuko after masurufu pale si vinginevyo. Hakuna jipya analoweza kufanya nina imani kuna watu kumpetent uswahilini wawatumie tuone. Siyo kukalia historia.

Bongo watu wanakuwa watu wazima zaidi efficiency inapungua kwani huoni balali, chenge, mkapa, kingunge na wengine wengi ambao wakati wa ujana wao walikuwa na sifa kwa ufanisi wa kazi zao.

SASA NA HUYU NDIO HUO MKUMBO HIVYO MIMI KWA UPANDE SIYO MY ROLE MODEL LADBA KWENU.
 
Kwa hiyo mheshimiwa Zitto unataka kuniambia haya matatizo ya Tanesco hayatokani na bad management ya Tanesco? au Siasa zimezidi Uwezo?

Siasa...........! tungeacha mashirika yakawa na bodi huru na kuziwekea malengo na kuzipima kutokana na malengo mashirika haya yangeenda vizuri sana. Siasa zinaingia sana na huyu Rashidi ni mmoja wa CEOs anayewakatalia wanasiasa waziwazi. Wanamchukia sana. Mfano kawaambia Wizara walipe pango la jengo la TANESCO, wizara eti hawataki..... CCM nao wameng'ang'ania Rest House ya TANESCO dodoma, amewatimua. Wamekasirika. Basi ni matatizo tu..... Sasa kwenye kampeni wanataka waweke CEO goigoi awape pesa maana Rashidi hatakubali na wao wameshazoea.....
 
Kwa jinsi ninavyofahamu, Dr. Rashid angekuwa one of the best CEO kama ambavyo mnasema basi tungeona performance yake pale Tanesco. Uwezo wa mtu unapimwa na performance yake! Kama mnataka kumtetea kwa kusema eti anaingiliwa na bodi ya wakurugenzi, waziri husika, katibu mkuu na baadhi ya wakurugenzi wizara ya nishati na madini basi angejiuzuru mapema na huo ndio weledi duniani kote!!

Professionalism means meticulous adherence to undeviating courtesy, honesty, and responsibility in one's dealings, plus a level of excellence that goes over and above the commercial considerations and legal requirements. Professionalism is not about your job title or self-proclaimed worth. It is not about self-perception at all. Professionalism is about personal ethics, quality work and a quality attitude.

Na kama kuna mazingira ya watu kukushurutisha ufanye jambo ambalo ni kinyume na wewe unavyoamini, you resign!!

Hata kama Rais atakuomba urudi unampa masharti ya kurudi, akishindwa kukutekelezea you quit!!!

He is just another failure, period!!!!
 
Dr. Rashid sidhani kama ni mzuri kiivyo kwani kama angekuwa hivyo alivyo hii miaka 3 tungeona kitu fulani. Kwani kwa position yake anaweza kutoa ushauri wa kipi kifanyike na kama hakikufanyika anajua nini cha kufanya. Kama ni kweli is a man of principles kama baadhi walivyo mnadi.

Iko wazi mtu unapokuwa sehemu ile ni CV unatengeneza na kama wewe ni mtu wa viwango si wa siasa kama Dr. Rashid angejiuzuru. Na kuweka wazi kuwa hawezi kufanya kazi kwenye shirika hilo mpaka vitu abc virekebishwe. Siyo kujiuzuru kama ule mkwara aliopiga kipindi fulani hapo nyuma.

Je tangu ameingia kuna lipi la zaidi alilofanya? Kama alifanikiwa BOT may be kulikuwa na team nzuri nyuma yake? Japo ingekuwa vizuri hayo mazuri yake yakawekwa wazi tukayajua vizuri. Matatizo ya umeme ni yale yale na mpaka leo hii. Kama ameamua kufa kibudu then means yuko after masurufu pale si vinginevyo. Hakuna jipya analoweza kufanya nina imani kuna watu kumpetent uswahilini wawatumie tuone. Siyo kukalia historia.

Bongo watu wanakuwa watu wazima zaidi efficiency inapungua kwani huoni balali, chenge, mkapa, kingunge na wengine wengi ambao wakati wa ujana wao walikuwa na sifa kwa ufanisi wa kazi zao.

SASA NA HUYU NDIO HUO MKUMBO HIVYO MIMI KWA UPANDE SIYO MY ROLE MODEL LADBA KWENU.

Facts are there - labda hujazitafuta tu. Kote alikopita kuanzia NBC, BOT etc
 
Back
Top Bottom