Kwa jinsi ninavyofahamu, Dr. Rashid angekuwa one of the best CEO kama ambavyo mnasema basi tungeona performance yake pale Tanesco. Uwezo wa mtu unapimwa na performance yake! Kama mnataka kumtetea kwa kusema eti anaingiliwa na bodi ya wakurugenzi, waziri husika, katibu mkuu na baadhi ya wakurugenzi wizara ya nishati na madini basi angejiuzuru mapema na huo ndio weledi duniani kote!!
Professionalism means meticulous adherence to undeviating courtesy, honesty, and responsibility in one's dealings, plus a level of excellence that goes over and above the commercial considerations and legal requirements. Professionalism is not about your job title or self-proclaimed worth. It is not about self-perception at all. Professionalism is about personal ethics, quality work and a quality attitude.
Na kama kuna mazingira ya watu kukushurutisha ufanye jambo ambalo ni kinyume na wewe unavyoamini, you resign!!
Hata kama Rais atakuomba urudi unampa masharti ya kurudi, akishindwa kukutekelezea you quit!!!
He is just another failure, period!!!!
Siasa...........! tungeacha mashirika yakawa na bodi huru na kuziwekea malengo na kuzipima kutokana na malengo mashirika haya yangeenda vizuri sana. Siasa zinaingia sana na huyu Rashidi ni mmoja wa CEOs anayewakatalia wanasiasa waziwazi. Wanamchukia sana. Mfano kawaambia Wizara walipe pango la jengo la TANESCO, wizara eti hawataki..... CCM nao wameng'ang'ania Rest House ya TANESCO dodoma, amewatimua. Wamekasirika. Basi ni matatizo tu..... Sasa kwenye kampeni wanataka waweke CEO goigoi awape pesa maana Rashidi hatakubali na wao wameshazoea.....
Zito Kabwe, wafanyakazi wape posho mbilimbili na safari za kutosha daima watakusifu na kukuona Mungu mtu, kuwauliza wafanyakazi ubora wa Idriss Rashid huwezi kuupata ukweli.Ukitaka kuiona utaona utaiona. Hawezi kuwa 100% ila kuna mambo kasawazisha sana TANESCO. Ongea na wafanyakazi
Facts are there - labda hujazitafuta tu. Kote alikopita kuanzia NBC, BOT etc
Zito Kabwe, wafanyakazi wape posho mbilimbili na safari za kutosha daima watakusifu na kukuona Mungu mtu, kuwauliza wafanyakazi ubora wa Idriss Rashid huwezi kuupata ukweli.
nenda maliasili na utalii ulizia ubora wa Zakhia , utashangaa anavyoabudiwa, nenda Hazina ulizia Blandina Nyoni utashangaa na Roho yako, nenda Ardhi ulizia mtu anaitwa Getrude Mongela utaambiwa, wanawasifu kwasababu walikidhi haja ya matumbo yao.
Facts are there - labda hujazitafuta tu. Kote alikopita kuanzia NBC, BOT etc
labda vijana/mkuu wanataka/anataka kutekeleza kwa vitendo uamuzi wao kwamba more opportunities kwa vijana in the context kwamba idrisa ni kijana
Zito Kabwe, wafanyakazi wape posho mbilimbili na safari za kutosha daima watakusifu na kukuona Mungu mtu, kuwauliza wafanyakazi ubora wa Idriss Rashid huwezi kuupata ukweli.
nenda maliasili na utalii ulizia ubora wa Zakhia , utashangaa anavyoabudiwa, nenda Hazina ulizia Blandina Nyoni utashangaa na Roho yako, nenda Ardhi ulizia mtu anaitwa Getrude Mongela utaambiwa, wanawasifu kwasababu walikidhi haja ya matumbo yao.
kuporomoka kwa NBC kulianza wakati Idrisa akiwa Mkurugenzi Mtendaji, hata mipango ya kuipiga bei kwa makaburu aliibaliki yeye!! ila huyu jamaa ana ngekewa sana maana badala ya kumfuta kazi wakati alipoifilisi NBC akapandishwa cheo na kuwa Gavana!Hana umakini wowote kwani nakumbuka akiwa Gavana wa Bank kuu kulikuwa na Bank moja inaitwa Meridian Biao Bank na ikafilisika na nadhani tetesi zilianzania Amerika ya Kusini kuwa imafilisika na Idrisa Rashid akaitetea sana kuwa hapa Tanzania ipo imara lakini baada ya muda ikafilisika
kuporomoka kwa NBC kulianza wakati Idrisa akiwa Mkurugenzi Mtendaji, hata mipango ya kuipiga bei kwa makaburu aliibaliki yeye!! ila huyu jamaa ana ngekewa sana maana badala ya kumfuta kazi wakati alipoifilisi NBC akapandishwa cheo na kuwa Gavana!
kuporomoka kwa NBC kulianza wakati Idrisa akiwa Mkurugenzi Mtendaji, hata mipango ya kuipiga bei kwa makaburu aliibaliki yeye!! ila huyu jamaa ana ngekewa sana maana badala ya kumfuta kazi wakati alipoifilisi NBC akapandishwa cheo na kuwa Gavana!
The best person (mzawa) kuliongoza shirika kama Tanesco angekuwa Idrisa. Ni mtu ambaye hababishiwi na wanasiasa. Track record yake hata akiwa BOT ilikuwa nzuri. Mlishawahi kusikia matumizi mabaya ya account ya EPA au scandal yeyote wakati wa tenure yake pale BOT.Doa pekee labada ni hizo payment zilizofanyika kwenye account yake kupitia kwa Andy Chenge. La kustaabisha ni kuwa hamna/hakuna mtu aliyemfuata kumuuliza his side of story (kama anayo hiyo obligation).
Hatoi posho au magari kwa wa wabunge/wanasiasa .
Critics wake should come out with suggestions na siyo kulaumu tu. Kama mnaona hafai basi angalau msuggest nani anaweza kuchukua nafasi hiyo.
Other members of the TANESCO board of directors are Victor Mwambalaswa, Agnes Bukuku, Juma Bakari, Vintan Mbiro, Semindu Pawa, Beatus Segeja, and Ngosi Mwihava.
Hivi hawa wote kuna hata mmoja mwenye ABC za mambo ya umeme?
Namuomba Mh. Zitto atupe facts zake zinazomfanya pengine aamini kuwa Dr. Rashid ana perform ku-deserve hizo sifa ili wadau tuzichambue.
I personally consider Dr. Rashid as one of the learned man, but totally disagree on his competence (ability to deliver tangible results).
Efficiency is measured by ability to deliver quality and reliable services with minimum cost possible. Lakini mchumi huyu amekuwa akiwabebesha mizigo walalahoi kwa kuwaongezea bei ya umeme badala ya kutafuta namna ya kubana matumizi na kutafuta njia mbadala wa kuzalisha umeme sustainable.
Kwa taarifa nilizonazo Tanesco imeingia mkataba uchwara na kampuni moja(jina kapuni) wa ku supply transifoma. Bei ya transifoma za kawaida (hizi tunazowekewa mitaani) ni mil 2-3 lakini jamaa (jina kapuni) ana supply kwa over 8 mil.
Binafsi sijaona mafanikio yoyote aliyoyaleta pale Tanesco.