Siasa...........! tungeacha mashirika yakawa na bodi huru na kuziwekea malengo na kuzipima kutokana na malengo mashirika haya yangeenda vizuri sana. Siasa zinaingia sana na huyu Rashidi ni mmoja wa CEOs anayewakatalia wanasiasa waziwazi. Wanamchukia sana. Mfano kawaambia Wizara walipe pango la jengo la TANESCO, wizara eti hawataki..... CCM nao wameng'ang'ania Rest House ya TANESCO dodoma, amewatimua. Wamekasirika. Basi ni matatizo tu..... Sasa kwenye kampeni wanataka waweke CEO goigoi awape pesa maana Rashidi hatakubali na wao wameshazoea.....
FMES,
1. Mimi ni tabia yangu kusagasaga hoja zisizo na uti wa mgongo kama zako,
2. kama utaona hicho ni kijiba hayo ni maoni yako
3. There you go again with your vague plethora of uneducated randomness,
4. wote mmekimbia umande, hamjui na hamjali kwamba huwezi kuokoteza
5. Au ni kwa sababu unaendekeza ushabiki fulani?
6. Hapa tuna matatizo on so many levels.Matatizo ya comprehension, matatizo ya honesty, matatizo bila shaka ya upeo.
7. Acha kuchekesha kwa kuja na self defeating arguments.
8. Lazima uombe maji ya kunywa kwa sababu unapata kipigo intellectually ambacho hukuwahi kupata.
9. Nakufunga kwa kamba yako mwenyewe, nakuhukumu kwa sheria uliyoileta mwenyewe. Stick to hoja, acha viroja.
10. I wasn't born yesterday. Kisoda ulichofungua kimeandikwa "Jaribu Tena"
HATUDANGANYIKI!!!... Tanesco can never die. Hamna serikali yoyote inayoweza kuachia shirika pekee la umeme nchini life. This is total nonsense. Ukweli ni kuwa Dk. Rashidi kweli alitumia uzoefu wake wa mabenki kutengeneza proposal ili Tanesco ipewe syndicate loan na mabenki kadhaa. Swali ni je, hizo 300bn/- kazitumiaje? Ripoti ya CAG imeonyesha kafanya renovation ya hundreds of millions of shillings kwa nyumba za viongozi wa Tanesco ili wajiuzie bei poa (Mbunge Ndassa alitoboa siri hii Bungeni), pia amenunua magari ya kifahari kwa viongozi wa Tanesco. Halafu tena akatumia zaidi ya 4bn/- kununua magari kutoka kampuni ya Yusuf Manji ya Quality Motors kwa bei ya juu. Huo ndio uongozi bora? Au ni one of the best CEOs of our parastatals kwa kwa matumizi mabaya ya pesa?FDR.Jr
Tanesco was about to die, it was rashid's ideas and influence mpaka tanesco iko hivyo leo. Aliweza ku lobby ktk mabenki na wakamkopesha karibu 300b ambazo serikali haikuwa imezifikiria kuzipata ili tanesco ipate unafuu japo kidogo, kwa hiyo kwa sasa anaiendesha tanesco kwa maono yake huku akijipa nguvu ya kurejesha mapesa ya mabenki yetu, sasa kama magazeti ya mengi yanashangaa kurejeshwa kwake basi waende kwenye mabenki wakawaulize namna walivyoshiriki kuinusuru tanesco kwa dhamana ya kichwa cha rashid.
Wakuu nitauliza tena swalki langu..
Ni lini na wapi Zitto aliyasema ama kuyaandika haya ya kusifia uongozi wa Rashid..
Maanake nashindwa kufuatilia mada hii
Mkuu unaweza kutuambia ni Benki zipi alizoweza ku lobby Rashid wakati serikali ilishindwa..Na hivi kweli serikali iliwapa tanesco kaisi gani vile?.. maanake tusichanganye vitu hapa.Tanesco was about to die, it was rashid's ideas and influence mpaka tanesco iko hivyo leo. Aliweza ku lobby ktk mabenki na wakamkopesha karibu 300b ambazo serikali haikuwa imezifikiria kuzipata ili tanesco ipate unafuu japo kidogo, kwa hiyo kwa sasa anaiendesha tanesco kwa maono yake huku akijipa nguvu ya kurejesha mapesa ya mabenki yetu, sasa kama magazeti ya mengi yanashangaa kurejeshwa kwake basi waende kwenye mabenki wakawaulize namna walivyoshiriki kuinusuru tanesco kwa dhamana ya kichwa cha rashid.
Problem hapo ni hao vijana wanaoiongoza wizara, ni so jr kwa rashid wakiwa bot na vodacom, nadhani jk aliangalie hilo pespectively.
Siku njema na kila la heri mzamivuidriss
- Mkuu ahsante sana kwa hizi hoja nzito sana za masilahi ya taifa ambazo zinasaidia kuweka wazi kwa nini hatuelewani, lakini kama nilivyosema jana ninapumzika kidogo nitarudi soon na mijadala mingine!
- Punguza dharau na majivuno mkuu, yatakushinda haya kama bado hayajakushinda tayari ni uhsauri wa bure tu!
Respect.
FMEs!
Moja tu - Amechukua u CEO pakiwa na hasara ya 162bn kwa mujibu wa audited accounts za 2006. 2007 hasara ilishuka mpaka 67bn. 2008 imeshuka mpaka 30bn na
mpaka june 2009 tayari TANESCO ilikuwa imebreak even. Kama sio mgawo wa Septemba, Oktoba na Novemba wangepata faida mwaka huu.
Mbili - kwa mara ya kwanza Taasisi za fedha zimekopesha TANESCO 400bn na wana service mkopo huo bila tatizo lolote na hivyo kuweka mazingira ya kukopa zaidi.
Tatu - Shirika lina mpango wa muda mfupi, wa kati na mrefu wa kuzalisha na kusambaza umeme. Miradi yote ya kuanzia mwaka jana imekwamishwa na Serikali kama Mhisa mkuu.
Nne - Sasa Shirika lina rejesta ya mali zake zote (zenye thamani ya 1bn usd) na wakati Rashidi anaingia CAG alitoa disclaimer audit opinion kwa kuwa pamoja na mambo mengine Shirika halikuwa na orodha na thamani halisi ya mali zake. NHC wana tatizo hilo na Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma iliwatimua na mpaka leo hawajaweza kufanya kama TANESCO.
Tano - Yupo very clear anataka Shirika lifike wapi kwa muda gani. Kwa mfano kama Mhisa pekee (serikali) angetekeleza commitment zake na faida iliyotarajiwa mwaka huu ikawa realised, lengo lilikuwa ni kustain faida kwa miaka mitatu ili TANESCO iuze hisa zake DSE na hivyo public listed company - kuongeza uwazi kwa mujibu wa masharti ya PLCs.
Niendelee?
Mbona watu mnabaki kusema Dr. Idris ameshindwa bila kutoa data? ameshindwa vipi? mnasema TANESCO inasua sua hamsemi inasua sua vipi kama ni umeme ilitakiwa izalishe kiasi gani na kiasi gani kinazalishwa kuna hasara kiasi gani? Naona hata FEM naye anongelea hisia tu mpaka anaenda kulala hajasema vitu kwa figures??? TINA yeye amekazania ukarabati wa nyumba jambo ambalo lazima lilikuwa kwenye plan na liliidhinishwa na bodi bila shaka. Mnataka kusema Zitto amekuwa anaongea kwa ushabiki lakini amesema kwa figure mwenye kubisha urgument za Zitto basi naye aje na figure kujustify anachotaka kusema.
- Mkuu Omaar, kama kweli wewe ungekua unalifahamu vizuri hili usingekuwepo hapa JF, ambapo kila kukicha tunachambua ishus za taifa na viongozi, ambazo huletwa hapa bila ruhusa za wahusika, sasa muwe waangalifu maana mnaishia kujitukana wenyewe!
- Upeo wa bina-adam hupimwa na maneno na matendo ya yule bina-adam, hivi kweli mkuu Omaaar tukienda hivyo Avenue, mkuu utasimama hapa JF kama hivi unavyotukana watu hapa? Eti kweli mkuu unataka twende hiyo Avenue are you serious unatka tukuchambue on that Avenue?
- Maana kwa haya maneno kama ninakuelewa ni kwamba wewe ndiye mwenye uwezo mkubwa sana kimawazo, katika kufikiri binafsi na kuiongoza familia yako kama unayo kwa hiyo wewe ndiye unayefaa kuwa Opinion Maker mkuu Omaaar eti ni kweli haya mkuu?
- Watu wengine bwana mbona mnachekesha sana, tupingane kwa hoja wakuu hayo ya personal pelekeni huko pembeni hatuyahitaji hapa JF, huu ni uwanja wa siasa na kwa kawaida huwa tunajadili ishus zinazoletwa hapa kwanza kwa kudai ukweli wake, ndio maana kule chini kuna uwanja wa tetesi, habari yoyote isiyo na ukweli hushushwa kule, msianze ya pesonal maana hamtayaweza! tujadili taifa!
Respect.
FMEs!
SAMAHANI kaka,
Naamini sikumtaja mtu hivyo its nothing personal. Mine was general observation. Hata hivyo naamini jana nilikuwa katika wakati mgumu hivyo niliteleza na kushindwa kujizuia. Samahani kwa wote niliowakwaza.
omarilyas
Nne - Sasa Shirika lina rejesta ya mali zake zote (zenye thamani ya 1bn usd) na wakati Rashidi anaingia CAG alitoa disclaimer audit opinion kwa kuwa pamoja na mambo mengine Shirika halikuwa na orodha na thamani halisi ya mali zake. NHC wana tatizo hilo na Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma iliwatimua na mpaka leo hawajaweza kufanya kama TANESCO.
Tano - Yupo very clear anataka Shirika lifike wapi kwa muda gani. Kwa mfano kama Mhisa pekee (serikali) angetekeleza commitment zake na faida iliyotarajiwa mwaka huu ikawa realised, lengo lilikuwa ni kustain faida kwa miaka mitatu ili TANESCO iuze hisa zake DSE na hivyo public listed company - kuongeza uwazi kwa mujibu wa masharti ya PLCs.
Niendelee?