William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Mkuu FMES,
1. there is no doubt ni Zitto huyo huyo 'the one and only' kuhusu Zitto hapa hakuna haja ya kuleta hadithi za Sigmund Freud kwenye Dr. Jekely na Mr. Hide.
2. Tunabishania contex aliyoizungumzia Zitto ni kwenye forum na kuwa quoted bila idhini yake, hii sio maadili kwa upande wa Thisday/Kulikoni. Ni kama Zitto amechangia off the record wewe unakimbilia kubandika on the record, ni uungwani kumwambia nio yako, hii inapoteza uaminifu as a result, JF imeloose confidence ya Zitto, tutakosa michango yake.
- Mkuu Zitto amesema maneno yake yamekuwa quoted kwa nia mbaya, hivi Zitto kama kiongozi alitegemea nini hasa kwa kuja hapa JF na kuandika as he was kwa jina lake kamili wakati sheria za JF ziko very clear kuhusu kuingia hapa kwa majina kamili?
- Unafikiri waanzilishi wa JF hawakuyajua hayo walipoamua kuingia hapa iwe kwa majina ya bandia? Vipi wakuu mbona mnashusha standards zetu hapa mkijaribu ku-defend the indefensible? Zitto anatakiwa kuwa a big boy na kusimamia maneno yake, kama kuna sheria za uandishi zimevunjwa sio tatizo letu members wa JF, ni tatizo la Zitto na hao waandishi, lakini it is none of our business!
- Nyinyi hamuwezi kutulaumu members hapa JF kwaniaba ya Zitto, kwa sababu yeye alipaswa kujua form day one alipoingia hapa kwa jina lake kamili kwamba he was opening himself for anything na haya ndio matokeo yake, I mean tunapenda Zitto aendelee kuwepo hapa, lakini no conditions attached, anaweza kuendelea kama alivyo yaani Zitto au abadili ID na yeye sasa aje na fake ID, halafu atuambie jinsi anavyoweza kutukomboa taifa letu na matatizo yake akitumia fake ID!
Respect.
FMEs!
- Mkuu Zitto amesema maneno yake yamekuwa quoted kwa nia mbaya, hivi Zitto kama kiongozi alitegemea nini hasa kwa kuja hapa JF na kuandika as he was kwa jina lake kamili wakati sheria za JF ziko very clear kuhusu kuingia hapa kwa majina kamili?
Vipi wakuu mbona mnashusha standards zetu hapa mkijaribu ku-defend the indefensible?
Its very true sio tatizo letu as JF as a whole, inapotokea waborongaji hao ndio hao hao members wetu tena wa heshima hapa JF, nadhani tunaobligation ya kuwareprimand na naamini ujumbe umewafikiakama kuna sheria za uandishi zimevunjwa sio tatizo letu members wa JF, ni tatizo la Zitto na hao waandishi, lakini it is none of our business!
Nyinyi hamuwezi kutulaumu members hapa JF kwaniaba ya Zitto, kwa sababu yeye alipaswa kujua form day one alipoingia hapa kwa jina lake kamili kwamba he was opening himself for anything na haya ndio matokeo yake, I mean tunapenda Zitto aendelee kuwepo hapa, lakini no conditions attached, anaweza kuendelea kama alivyo yaani Zitto au abadili ID na yeye sasa aje na fake ID, halafu atuambie jinsi anavyoweza kutukomboa taifa letu na matatizo yake akitumia fake ID!
Respect.
FMEs!
- Mkuu Pasco, maneno yako ni mazito sana, lakini mnasahau kwamba sisi JF tunachojali ni hoja muhimu kwa taifa, mambo ya sheria za uandishi hzituhusu hapa, kutumiwa kwa habari hii kwa nia mbaya kama alivyosema mwenyewe Zitto hakuna uhusiano wowote na context za maneno ambacho ndio hasa interest yetu hapa JF,
- Nijuavyo ni kwamba viongozi wetu kuanzia ngazi za ubunge kama wa Zitto, wanakuwa on duty 24/7 chochote wanachosema to the public kama hapa JF tulivyo ni fair deal kuwa quoted, sikatai kwamba huenda kuna ethics za uandishi zimekiukwa, sasa hayo tuwaachie mahakama ndio iamue kwamba maneno ya Zitto hapa JF ni off the record, lakini sio members wa JF hapo na sisi sasa tunaingilia uhuru wa mawazo wa Zitto, ndio maana tuna mahakama sisi tunaweza kuichambua hukumu iliyotolewa na mahakama, lakini sasa tunaanza hata kuwa mawakili wa Zitto bila ya yeye kutuomba, pleasee!
- Ya sheria za uandishi wa habari hazituhusu wakuu!
Respect.
FMEs!
Naona kwa wengine somo dogo sana linakuwa zito kweli kweli.
- Mkuu Pasco, maneno yako ni mazito sana, lakini mnasahau kwamba sisi JF tunachojali ni hoja muhimu kwa taifa, ..........FMEs!
Blue Ray, mambo ya Logic ndio hayo hayo ya I.Q!Mbona logic ndogo tu ya if A then B inatushinda?
Mbona logic ndogo tu ya "If we are not sure that Zitto said this" then "there is no news to discuss" inatushinda?
Kweli kabisa Mkuu.......
Tunawakubali sana viongozi wa Siasa wanapokuja kujiunga nasi hapa JF.......na tunawaheshimu sana kwa hilo............however ikumbukwe kuwa muhimu hapa ni Taifa..........kama hoja iliyoko mbele ni kwa manufaa ya wananchi........hapa JF tunamkoma Nyani giladi.........hatuangalii makunyanzi....sasa kama Kiongozi amekuja hapa ili "ajifiche fiche" eti kwa kuwa kuna ethics za uandishi wa habari........nafikiri mtu unahitaji kufikiri kwa mara ya pili...........
kuna mazuri yaliyoandikwa magazetini (na mengine kufanyiwa kazi) kutokana na mawazo ya watu hapa JF pamoja na ID zao feki.........
Kuna mambo yaliandikwa hapa na Zitto kuhusu Buzwagi na.....hoja hiyo ilikuwa mali magazetini hadi bungeni.......VIPI kuhus hilo Wakuu.......
Whether ni Zitto feki au ni Zitto halisi....kama anaona hakutendewa haki...still ana nafasi ya kuutarifu umma visivyo..........then awachukulie hatua wahusika...........
Again........Taifa Kwanza!..........hapendwi mtu hapa

Semenya,Pasco na Bluray,
Mmeelezea vizuri sana ethics za journalism.
Me kwa mara ya kwanza nilivyoiona hii threas, jambo la kwanza nikajiuliza, Ni sahihi kwa gazeti kuchukua habari katika internet forum?
Na kwanini Iwe Zitto?, wangapi na habari ngapi huchangiwa hapa haziandikwi??ndo baadae nikapata picha kuwa hii imeangikwa kwa nia Mbaya.
Tuachne na hayo, jinsi mlivyoelezea Journalist ethics, mmemaliza kila kitu nashauri members hapa wapitie hii thread waone jinsi mlivyoelezea.
Pia ukija kugundua kwanini Thisday/kulikoni yaliundwa, yaliundwa kwaajili ya Kuwabomoa watu flani kisiasa, nadiriki kusema Manji alikua wakwanza kukumbwa na mkasa wao.Semenya,
Asante kuliona hilo, Spika Sitta aliwahi kusema bungeni, Mafisadi wanamuwinda, wao wanaposti articles kwenye mtandao, halafu wanaquote hizi articles toka mitandaoni kwenye magazeti yao.
Sina tatizo na Thisday/Kulikoni kuitumia JF, wana team nzuri zenye vichwa vya investigative journalism, walikuwa na kila sababu ya kifanya story halali, ila walifanya walichokifanya delibarately. Tatizo lao ni moja tuu, wanakuwa too pesonal mpaka wanageuka kuwa na chukibinafsi dhidi ya watu fulani fulani. Wamejenga chuki binafsi dhidi ya Rashid kwenye issue ya rada, sasa wanamlink na Zitto aonekane part and parcel. This is bad journalism.
Ogah,
Zitto amesema popote on record offline ku validate hii article?
Lakini wauze c kwa ku destroy image ya mtu au watu, ndo tunarudi tena katika ethics za journalism. kwanini hamtaki kulikubali hilo wakati lipo clear ndugu zangu. Ifike wakati mambo ya ajabuajabu tuyakatae watanzania, ndio itakua njia pekee kuliokoa Tanzania.Bluray,
Najua swali lako linahitaji jibu fupi....however
Ukisoma post yangu ya kwanza kuhusu huumjadala utaelewa msimamo wangu kuhusu kauli ya Zitto hapa JF na jinsi ilivyotolewa huko kulikoni........
Zitto alitumia neno "Devils advocate"...........mwandishi alitakuwa kumuelewa Zitto kwa hilo na alitakiwa aliweke wazi pia......si ku-quote on one side of Zitto discussion.........na hence nilimulewa Mh Zitto aliposema ujumbe ulivyowakilishwa.....ulikuwa na nia mbaya........still hiyo ni tafsiri ya Zitto...i.e NIA MBAYA......kwani inatupasa kumuuliza Mhariri/Mwandishi nia yake hasa ni nini...........pengine naye alikuwa anachokoza mada uraiani........huko uraiani kuna ma-"Devils Advocate" pia....au sio?........
Notwithstatnding the above.........si wananchi wengi walio na uwezo wa kuingia ktk internet na kuchangia hoja hapa JF..........wengi wao watasoma kulikoni......very unfortunate watasoma a biased story....(i.e. "Nia Mbaya")........huko uraiani wananchi watamuuliza Mh wao kama kweli alisema/aliandika maneno hayo........
....anyway pamoja na ethics na standards za uandishi pia muelewe kuwa kuuza habari kuna technicalities zake........
Bluray,

Upo sawa kabisaMimi beef yangu ni deeper than that, hata huyo anayesemwa kwamba ni Zitto aliyesema hawezi kuthibitishwa kwamba ni Zitto.
It's not like alirekodiwa kwenye tape na watu wakimuona, au alirekodiwa kwenye video, au alisema kitu publicly kuna mashahidi mwandishi akaandika.
Hakuna ushahidi kama huu, zip zero.
Kwa hiyo hii si news, ni innuendo, propaganda.
'
Na mimi siwezi ku lower bar that low, kwa sababu haijafikia standard ya news.
Ni utumbo fulani ambao mtu ambaye haelewi umuhimu wa proper sourcing tu anayeweza kuu entertain.
Ukisema kuuza magazeti kuna technicalities zake una sound kama unatetea utumbo huu, unless nina ku misread ujieleze una maana gani.
Kauli hiyo inaleta maswali kibao mfano:-"Kinachonipa tatizo ni jinsi watu walivyoline up (jipanga) kuchukua nafasi pale Tanesco ili kufurahisha wanasiasa. Nitawapinga hao kwa nguvu zangu zote......,"
Sasa ushauri wangu ni kwamba tusipime mafanikio ya Dr Rashid kwa kigezo cha kuelewa mambo, au kupendwa na wafanyakazi, au kupata hati safi ya ukaguzi wa mahesabu; tumpime kwa kufanikisha upatikanaji wa umeme hapa nchini-kwa maana ya uhakika wa upatikanaji na kiwango alichopanua huduma hii kwa wananchi wengi iwezekanavyo. Tukitumia kigezo hiki tutagundua kwamba Dr Rashid alipaswa kuwa ameachia au kuachishwa ukurugenzi, sio jana, bali tangu juzi!