TANESCO Arumeru-ARUSHA Umeme mbona tuko gizani, wapi umeme?

nicholasmari

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
1,940
Reaction score
1,248
Kwanini umeme unakatika kwa siku hata zaidi ya mara 10 kuna nini? Km leo kuanzia saa 12 hakuna umeme tuko gizani, kuna nini mbona hatuelewi. Maisha gani haya ya kuishi gizani zama hizi na umeme mnatuambia upo mpk wa ziada?
 
Hatuna deni na mama, sasa hatuelewi kinachokuliza ni nini
 
Mama ni kila kitu hatumdai hata mia mbovu , acha uchochezi umeme upo mbona?
 
Back
Top Bottom