Tanesco ama tadasco?

jockey emmanuel

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
330
50
Wanajamvi napenda kuwajulia hali baada ya kupotea kwa muda mrefu kutokana na majukumu mbalimbali,...napenda kuwapongeza TANESCO kwa kutu-providia umeme wa uhakika since uhuru till today.wamejitahidi sana (but im nt sure)....swali langu ni kwamba je,ni wanatu supply with LIGHT au ni TADASCO(TANZANIA DARKNESS SUPPLIERS)
 
Nadhani wataendelea kuitwa Tanesco tu hata kama upatikanaji wa umeme haufikii viwango vyako
 
Back
Top Bottom