KERO Taneco Kahama Mtaua Watu

KERO Taneco Kahama Mtaua Watu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Jamaludin

Member
Joined
Apr 26, 2024
Posts
49
Reaction score
41
Habari za mida hii wanajf?
Napenda Leo nilete tatizo ambalo limekua kwa kipindi sasa na TANESCO hamna action walioi-take.
Mimi no mkazi wa Kahama Municipal, Ukiwa Shunu kuja huku Hongwa Tanesco wamezidisha kero na hatari kwa wakazi wa eneo hili.
20250513_161225.jpg

Toka waweke nguzo na nyaya zipo chini nawakati zipo connected no hatari kwa usalama na kwa wananchi kwa ujumla

20250513_161214.jpg


Kuna nguzo nyingi wameweka zingine hazina nyaya pia wamejisahau kupandisha nyaya na katika sehem zingine nyaya zipo lakini ndio Hall kama unavyoona
20250513_161206.jpg


Watuwazima, watoto, na kina mama wanaishi maeneo haya na kupita Mara kwa Mara, sasa sijajua kama Tanesco wamesahau au ndio "bado tupotupo tutakuja tuu?"

20250513_161210.jpg


Nlijaribu kumtafta Savea mmoja na kumuuliza lakini hakunipa majibu sahihi, nkamtafuta manager lakini kwenye sim sikubahatika kumpata kwa wakati, kwahio naomba serikali iingilie kati swala hili, na sio Hongwa tuu na hata Nyashimbi ukiwa unaelekea Msikiti wa Nyashimbi Barabara ya Shul Ya Msingi napo changamoto hii ipo pia.

Ahsante.
 
Back
Top Bottom