101 East
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 1,040
- 2,121
Mwandishi wa DW, Salma Mkalibala aliitembelea familia ya Mzee Hamisi Lada, kijiji cha Nanyanga, halmashauri ya wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara, Kusini mwa Tanzania, inayoinaishi na nyuki ndani ya nyumba yao kwa zaidi ya miaka 18.
Ambapo Mzee Hamisi amesema nyuki hao no Askari wake wanaomlinda dhidi ya watu wabaya wanaotaka kuvamia nyumbani kwake.
Kwa saa nyumba take haifungwi milango Wakati wote na hakuna mwizi anayeweza kusogelea kwa kuwa kuna ulinzi mkali kutoka kwa nyuki hao.
Video hapo chini