Tancut Almasi na Mwipulike

Nyaka-One

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
4,628
6,562
Wadau wa muziki wa nyumbani mliokuwepo miaka ya early 1990s kama mnakumbuka band ya Tancult Almas iliwahi kutoa wimbo mmoja hivi ambao sikubahatika kuujua jina lake lakini kwenye moja ya vibwagizo vyake walikuwa wakisema "wamama mwipulike". Kwa mwenye kujua jina la wimbo aniwekee hapa na ikiwezekana nipate na link ya kuupata mtandaoni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom