Tanasha atua nchini, gari la Diamond lampokea

Hii kauli tungeifanyia kazi tusingekua tunadhalilisha wengine mfano wewe hapo unapomsema vibaya zari ni kama unapata raha fulani vile. Mfano mie kumuongea vibaya pugi ni raha na sipati faida.
Usikarike nae ana haki ya kukupa attack ujisikie vile wanavyojisikia unaowadiss
Wrong quote, hafu Mimi sio celebrity na siweki maisha yangu mtandaoni, then humu tunatumia fake identity Sasa mtu akisema uongo simwavhii, hata mimi nikija hapa niseme a, b, c, d zangu Basi ni ruksa kunijadili. Pia zari anapenda umaarufu ndio maana akazaa na kijana mdogo so ukiwa celebrity nakuweka Mambo yao ku discusiwa ndo furaha yao.
So Mimi sio zari tu Nita discuss hata mada yoyote humu JF Nita discuss
 
Rais wa ufaransa mdogo ila kaoa mbibi na wala hakuna anayemlalamikia kupenda umaarufu ndo maana kaoa mbibi but why zari,mbona mama domo anatembea na shamte hatujasema anapenda umaarufu. Tatizo sio kuzaa na kijana mdogo bali kuzaa na kupata kile mnachokitamani (her whole life style)

Wengi wana kuattack kwa sababu ya maneno yako ya kujiona saint huku wengine wachafu sana anzia uzi ule wa kazwala hadi huu jichunguze.

Humu JF nyuzi huwa nyingi hata huyo mama dangote anasemwa tu, so usione zari ni unique creature wakati mwenyewe anapenda kuongelewa negative au positive ndio maana huandaa kiki Mara za king bae, Mara arudi KWA diamond nakupangwa ka nyanya, so nawahurumia kwa kuzaa na huyo chibu acha awatumie KWA zamu sipati picha huko zari aliko maana alijiaminisha yeye ndo special case.
Pia case ya ufaransa inajulikana mama kaolewa kabisa Ila zarina au yoyote aliyezaa na dai hajaolewa ndo maana wanapishana tu madale.
Halafu Mimi mtu kuni attack sijali Sana as long nasimamia ninachokiamini na kutoa maoni yangu no one ka change me na msimamo Yani I'm free kabisa humu attack hazina jipya Yani na siwezi create I'd nyingi kisa watu wananijua never aisee.
 
Umeweka chuki mbele ndo maana humuelewi zari halafu hujanote tu wengi humu hawamuongelei ili wasimpe kiki zaidi. Maisha yake ni ya vile tangu akiwa na ivan sema huku wengi walikua wakimfatilia zaidi sintah na juma nature.

U cant change her,call it obsession, attention seeker etc but oweeh its her life.

Hajawahi kujiaminisha ni special ila ile caring yake na kunyakua madili akiwa na domo wengi imewauma.
IMAGINe akija zari anapelekwa sehemu zenye deals ila kaja dona kapelekwa sehemu za starehe. Mwanamke mwenye akili hawezi kuona wivu hapo.

Nasubiria junior apelekwe wasafi na kukalishwa kwenye kiti cha uboss

Mbona Kama anamtetea Sana Zari vip una undugu nae
 
Wewe ndo unaweka emotions kwa huyo zarina kiasi kwamba yoyote akikoment usichopemda Basi ni chuki, na Mimi nakwambia huo ni mtazamo wangu wala haihusiani na chuki, pia hayo ya endorsement yanamhusu yeye mwenyewe, Mimi nimetoa kuhusu side Moja tu tena hii ya tanasha kuja. So usinimalizie hasira za tanasha kuja kwa huyo Domo, kuanzia zarina wako na wanawake wengine watachezewa kweli tu so tusimaliziane hasira Wala chuki hili ni jukwaa huru na huwa na enjoy Wala siweki kinyongo maana Mimi sina team ushuzi humu.
 
Sina hizo hasira bali comment zako zina hasira pole jaman maisha haya hayalingani mitano tena au mirere kabisa sio milele

Hujajibu Ulipokana wewe sio inno acha nikukumbushe nyuzi zako

Mbona Kama anamtetea Sana Zari vip una undugu nae
 
Sina hizo hasira bali comment zako zina hasira pole jaman maisha haya hayalingani mitano tena au mirere kabisa sio milele
Ur too emotional aisee be free bila ku side na team yoyote you will enjoy life.
Hafu hzo mirere whatever ni vile keyboard ya simu Ina sense na kikubwa umeelewa humu JF hatuandiki mtihani wa lugha
 
Ni changamoto gani nijiandae kukutana nazo nikifanya kazi na wamarekani?

Kama kudharauliwa, kubaguliwa n.k
Wamarekani ubaguzi labda mtaani, sehemu za kazi, hususan sehemu kama UN, zina sheria kali sana dhidi ya ubaguzi. Na sehemu kama New York City washapitia stages nyingi sana za ubaguzi, kwa sasa hakuna ubaguzi wa wazi, mtu akiitwa mbaguzi ni tusi kubwa sana.

Pia New York, hususan UN, kuna watu wengi wa mataifa tofauti, hivyo New Yorkers washazoea kuishi na watu wa sehemu mbalimbali za dunia.Tatizo labda ukiend ahuko mikoani.

Changamoto kubwa ni utamaduni. Wamarekani wengi, hususan New York, ni watu wa kuongea sana, na wanategemea na wewe uwe muongeaji.Ukiwa mkimya kuna wengine wanaweza kufikiri una tatizo.Hivyo kila wakati unatakiwa kuwa mtu wa kujieleza, kupiga stories, kuwa mtu wa maneno maneno.Hii kitu imeni affect mpaka mimi nimekuwa mtu wa maneno maneno sana zaidi hata ya awali, ingawa hata awali nilikuwa mtu wa maneno.Kibongobongo inaweza kuwa oversharing na too much information, lakini kwao ndiyo wanakuona umewakubali na wao inakuwa rahisi kukukubali.Ukiwa mkimya wanakuona uko distant.Sasa kasheshe ukitoka Bongo hujazoea mi accent yao, wanaongea haraka sana, halafu maswali kibao.Lazima ujipange kwenye maongezi.

Jipange upate papers vizuri, ukishaingia kwenye mfumo wa UN na kukubalika utafurahia sana kazi yako.

Ila sitaki kukudanganya, kazi za UN zina competition sana na kuna watu wengi kutoka dunia nzima wanazitaka.Hivyo jipange ufikishe vigezo vyote halafu tafuta mtu anayeijua vizuri UN akusaidie.
 
Wamarekani ubaguzi labda mtaani, sehemu za kazi, hususan sehemu kama UN, zina sheria kali sana dhidi ya ubaguzi. Na sehemu kama New york washapitia stages nyingi sana za ubaguzi, kwa sasa hakuna ubaguzi wa wazi, mtu akiitwa mbaguzi ni tusi kubwa sana.

Pia New York, hususan UN, kuna watu wengi wa mataifa tofauti, hivyo New Yorkers washazoea kuishi na watu wa sehemu mbalimbali za dunia.Tatizo labda ukiend ahuko mikoani.

Changamoto kubwa ni utamaduni. Wamarekani wengi, hususan New York, ni watu wa kuongea sana, na wanategemea na wewe uwe muongeaji.Ukiwa mkimya kuna wengine wanaweza kufikiri una tatizo.Hivyo kila wakati unatakiwa kuwa mtu wa kujieleza, kupiga stories, kuwa mtu wa maneno maneno.Hii kitu imeni affect mpaka mimi nimekuwa mtu wa maneno maneno sana zaidi hata ya awali, ingawa hata awali nilikuwa mtu wa maneno.Kibongobongo inaweza kuwa oversharing na too much information, lakini kwao ndiyo wanakuona umewakubali na wao inakuwa rahisi kukukubali.Ukiwa mkimya wanakuona uko distant.Sasa kasheshe ukitoka Bongo hujazoea mi accent yao, wanaongea haraka sana, halafu maswali kibao.Lazima ujipange kwenye maongezi.

Jipange upate papers vizuri, ukishaingia kwenye mfumo wa UN na kukubalika utafurahia sana kazi yako.

Ila sitaki kukudanganya, kazi za UN zina competition sana na kuna watu wengi kutoka dunia nzima wanazitaka.Hivyo jipange ufikishe vigezo vyote halafu tafuta mtu anayeijua vizuri UN akusaidie.
Hapo kwenye mineno mingi umenichekesha sana
 
Nami ujumbe nimekufikishia halafu hii too emotional naona unayo ndo maana unaisakazia kwangu.
Usiseme huna team timu unayo sana ila hujiamini pole jamani.
Ur too emotional aisee be free bila ku side na team yoyote you will enjoy life.
Hafu hzo mirere whatever ni vile keyboard ya simu Ina sense na kikubwa umeelewa humu JF hatuandiki mtihani wa lugha
 
Nami ujumbe nimekufikishia halafu hii too emotional naona unayo ndo maana unaisakazia kwangu.
Usiseme huna team timu unayo sana ila hujiamini pole jamani.
Sina team ushuzi Mimi ndio maana Niko huru hzo team zenyewe zilishakufa maana zilikuwa zinaongozwa na wanawake waso na mbele Wala nyuma. Ndio mana nadra kusikia sijui team kiba, wema zilikuja na ushamba wa kutumia ig.
 
Hapo kwenye mineno mingi umenichekesha sana
Mtu kujijua ni jambo jema sana.

Kiranga anaweza kuingia nyumba akakuta watu wanapiga story, akaikuta story katikati, akaichukua yeye akaanza kuihadithia mpaka aliowakuta wanapiga story wote wakanyamaza wanamsikiliza yeye.

Halafu, kwake yeye, anaona hilo ni jambo jema, kwamba anaowashrehesha kawakubali.Kwa sababu, kwa upande mwingine, ni mtu mjivuni sana, anaweza kuingia sehemu akasalimia akakaa kimyaa, kama hajui kusema, anawasikiliza watu tu.

Kwa hiyo ukiona anapiga sana story ujue kakukubali kiaina.

Sasa Wanyamwezi wengi, hususan New Yorkers, ndiyo wana hizo sana. Ukikaa kimya wanakuona kama unawachora hivi, wanataka mtu wa stories.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom