NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 11,293
- 14,584
Si umesikia wanasema anaitwa JoelKwan uyo simba ni nani mbona anapewa airtime zisizokua na msingi
[emoji38][emoji38]yann kujifia
Kwa sababu Tanzania Ina nusu ya idadi ya Simba wote waliopo DUNIANI Kwa Taarifa zilizopo Hadi muda huu mm naandikaKwan uyo simba ni nani mbona anapewa airtime zisizokua na msingi
Kaz yao TANAPAHii ndo bongo ambayo simba (mnyama) anatafutwa kuliko binadamu akipotea
Ni kazi zao na wanawajibikaKwan uyo simba ni nani mbona anapewa airtime zisizokua na msingi
Hiyo ndio kazi inayowatunzia watoto unataka waongelee siasa na mapenzi?Hii ndo bongo ambayo simba (mnyama) anatafutwa kuliko binadamu akipotea
Hahahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Joeli aliwaza akaona kama lema alikimbilia canada na lissu akakimbilia ubelgiji yeye abaki tu anashangaa ikabida atafute mahala akimbilie na atakua ameiga kwa viongozi wa chadema kukimbiakimbia kwenda kujificha
Siyo hivo, hawawezi kuingilia ikorojia huwa wanaacha nature ifanye kazi mkuu.Mali asili mtalaumiwa kwann kama mlijua yotehaya hamkutaka kumlinda bob Jr na familia yake ? Mmemkosea