Tamwa

jovex

New Member
Oct 31, 2012
3
0
hellow,kuna mwanamke kule kahama aliishi na mmewe kwa mda mrefu,wakazaa watoto wa tatu. walijenga nyumba pamoja,baada ya kuishi kwa mda mrefu ,mme wake akaanza kumnyanyasa,kumpiga,na kumtishia kuuawa,.Hatimaye huyo mwanamke alifukuzwa,na huyo mwanamme akaamua kuoa mwanamke mwingine.je mwanamke huyo yuko kahama,afanyeje ili aweze kupata haki yake?by jovex
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom