salaam, nimekumiss Numbisa njoo tucheke pamoja.View attachment 1264333
Inaboa uzi mrefu kuunganishwa. Mods acheni wivu. Sijui niwatukane aah tatizo mnaringia kitisho cha Ban
I miss my thread "Njoo tucheke pamoja"
Looo, kumbe buza majanga? Nitakuwa sisimami huko
Ule Uzi ulipoteza mvuto, mapicha yalianza kujirudia yaleyale!Numbisa, Uzi mashuhuri wa Njoo Tucheke pamoja umehamishiwa wapi? Una tatizo gani mpaka umehamishwa wakati ni uzi wa muda mrefu?
Sijaona cha kuchekesha hapa... Skuli ni neno la kiswahili
.
Hivyo ficha upumbavu wakoView attachment 1264333
Inaboa uzi mrefu kuunganishwa. Mods acheni wivu. Sijui niwatukane aah tatizo mnaringia kitisho cha Ban
I miss my thread "Njoo tucheke pamoja"
.
Si hapa
Content nzima ni hii
Hivyo ficha upumbavu wako

kuna uzi mmoja unasema kila mwana jf ana hasira
kitu kidogo usha catch feelingsSasa ile "Picha" ya skuli, Tanzania bara tunaona ni kingereza (school)lakini wenzetu wanalitumia kwenye kiswahili kawaida..Ofcourse mie pia ni mwana JF