Tamu ya infidelity imenitokea puani

Huyu hakuwa anasoma novel za Ian Fleming na namna warusi walivyokuwa side tracked na James bond 007. How can you have an affiar without reading James Bond?
Hahahaha tatizo la Mikela alijikokotea utafikiri hana wife home mm nahisi lazima alimshika hata kiuno.

Alijisahau hata kugeuka nyuma aaangalie watu anao wapita au kupishana nao wanatathimini vp huo mzigo.

Angemtanguliza binti au yeye akazuga akaenda Lumumba kisha akaingia Uhuru na kurudia Congo then azame mjengoni angekuwa amesha wapote za maboya wafuatiliaji.
 
Thank u I give frank advice to both my fellow ladies and men who are stupid enough to be caught maana hawa wanatufanya tuwachunguze sana waume zetu and in the end na wanaume wanaanza kutuchunguza na kukuta kuwa "Usione mbwa kalala ukadhani koko".

The story is too good to be true maana kama ni kweli huwezi kurudi ofisini. The rule for any infidel is that once caught na huwezi kudeny then admit and apologise kwa umpendaye hivyo huwezi kurudi ofisini.

But assuming that its true then Teamo and co. should cleary tell u that you broke the following principles:
1. Never go into the infidelity game (while you are new comer into the game) with a new comer. Find someone more experienced akupe experience. Siyo mbaya kwa mwanaume kutoka na jimama.

2. Never ever while in DSM town go and cheat with anyone at the following hotels: Kibodya Inn, Durban Hotel, Bondeni Hotel (Magomeni). Everybody in town goes to those hotel and many of us ladies are aware of them.

3. Always trace your movements in every corner you go. Dont leave traces of your movements (Same way with deleteing sms and recent call lists).

4. Never cheat or pick a girl while you are not sure of your wives movement. Ensure all the time you have someone to trace her. if she is a house wife use the housegal or if she has a sister use her to know her movemnets while you are on your move.

5. Never open a door while you are in a hotel room. Let them break the door. (By the time they break the door wewe utakuwa tayari umeshavaa, umetandika kitanda, umefuta sperms na uko kwenye meza unafanya interview na mdada wako kama alivyofanya yule mkuu wa wilaya kule kusini). Ingawa hii haitamek sense kwa mama watoto but its easy to be excused bcoz hatakuwa na evidence na hakuna kosa kisheria kufanya intervieew na mfanyakazi wako kokote hata kama hotelini. (Usisahau kumkumbusha mama watoto pia mkataba wa Richmond ulisainiwa chumbani kwa Karamagi kule London).

6. If its really important to open the door always make the gal do that. Hakuna ujasiri wowote unaoufanya kwa wewe kuwahi mlango. Dont 4get kuwa adhabu nyingine kubwa ya cheaters ni kumwagiwa acid (ref. kubenea) so its better if its your better half who suffers the consequences.

7. Beware of hotels ambazo hazina alternative ways za kusepa. Do your research. I am sure the infidels themselves will give you the hotel names.

LADIES BE HAPPY!! NIMEWAPA TRICKS ZOTE AMBAZO WANAUME WETU HUWA WANATUMIA WANAPOKUWA WANACHEAT ON US. SO NEXT TIME YOU KNOW WHAT TO DO ESPECIALLY NO. 6.

wewe kiboko i salute u :biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::gossip::love:
 
Caren: Shikamoo baba!!

Asprin: Toka hapa unaniamkia unataka kuninyima nini?

So i say to you my father: Mamboz!!

Hili linahitaji kuhifadhiwa kwa ajili ya future reference! Katibu? Mwanangu Caren kweli sasa umekua!
 
Hiyo kali
Thank u I give frank advice to both my fellow ladies and men who are stupid enough to be caught maana hawa wanatufanya tuwachunguze sana waume zetu and in the end na wanaume wanaanza kutuchunguza na kukuta kuwa "Usione mbwa kalala ukadhani koko".

Read my posts in this forum uone ninavyomkubali shemeji yenu katika maswala ya unyumba. Huwa siyo mtu wa short time akiwa juu ya kiuno n since i get everything sijawahi fikiria. But hii haina maana kuwa yeye hafanyi na ex wake!! Anafanya sana nami najua lakini nifanyeje ndoa naitaka.

Careen Nimekukubali!

Inawezekana Shemeji yetu unam-cheat ile mbaya!:hand:
 
The story is too good to be true maana kama ni kweli huwezi kurudi ofisini. The rule for any infidel is that once caught na huwezi kudeny then admit and apologise kwa umpendaye hivyo huwezi kurudi ofisini.

But assuming that its true then Teamo and co. should cleary tell u that you broke the following principles:
1. Never go into the infidelity game (while you are new comer into the game) with a new comer. Find someone more experienced akupe experience. Siyo mbaya kwa mwanaume kutoka na jimama.

2. Never ever while in DSM town go and cheat with anyone at the following hotels: Kibodya Inn, Durban Hotel, Bondeni Hotel (Magomeni). Everybody in town goes to those hotel and many of us ladies are aware of them.

3. Always trace your movements in every corner you go. Dont leave traces of your movements (Same way with deleteing sms and recent call lists).

4. Never cheat or pick a girl while you are not sure of your wives movement. Ensure all the time you have someone to trace her. if she is a house wife use the housegal or if she has a sister use her to know her movemnets while you are on your move.

5. Never open a door while you are in a hotel room. Let them break the door. (By the time they break the door wewe utakuwa tayari umeshavaa, umetandika kitanda, umefuta sperms na uko kwenye meza unafanya interview na mdada wako kama alivyofanya yule mkuu wa wilaya kule kusini). Ingawa hii haitamek sense kwa mama watoto but its easy to be excused bcoz hatakuwa na evidence na hakuna kosa kisheria kufanya intervieew na mfanyakazi wako kokote hata kama hotelini. (Usisahau kumkumbusha mama watoto pia mkataba wa Richmond ulisainiwa chumbani kwa Karamagi kule London).

6. If its really important to open the door always make the gal do that. Hakuna ujasiri wowote unaoufanya kwa wewe kuwahi mlango. Dont 4get kuwa adhabu nyingine kubwa ya cheaters ni kumwagiwa acid (ref. kubenea) so its better if its your better half who suffers the consequences.

7. Beware of hotels ambazo hazina alternative ways za kusepa. Do your research. I am sure the infidels themselves will give you the hotel names.

LADIES BE HAPPY!! NIMEWAPA TRICKS ZOTE AMBAZO WANAUME WETU HUWA WANATUMIA WANAPOKUWA WANACHEAT ON US. SO NEXT TIME YOU KNOW WHAT TO DO ESPECIALLY NO. 6.

Leo wakati wa chakula cha mchana nikatoka na kabinti kamoja kageni kametoka chuoni siku za karibuni kwa ajili ya kupata mlo wa mchana.
Tukaenda florida pub na kuagiza mexican chicken na chips tukisindikiza na bia lainilaini.
Utamu ukanoga, nikamkokota mtoto mpaka kwenye kijihoteli kimoja kinaitwa kibodya inn hapo mtaa wa nkuruma.
Tukapewa chumba kizuri kabisa na shughuli ikaanza.
Foreplay za hatari na ufundi wa kufa mtu.
Mara kitu kimo ndani nje, kama mara kumi na mbili hivi tukasikia mlango ukigongwa.
Ukagongwa kwa mara ya pili na kwa nguvu zaidi.
Nikaona nikasikilize kuna nini.
Ile kutaka tu, nikakutana uso kwa uso na mke wangu.
Akaniambia niendelee tu na kumchapa huyo binti, ila alikuwa amekuja kuniaga kuwa anarudi kwao, na wala hana haja ya kugwana mali, ila atachukua nguo zake zote tu.
Nikabaki hoi, ulimi umenitoka nisijue la kufanya.
Muda huu ndio naingia ofisini na kujiuliza hivi hawa wakina teamo, ni lipi nimekosea kwenye katiba yao?[/QUOTE]
Babe I need you
 
Read my posts in this forum uone ninavyomkubali shemeji yenu katika maswala ya unyumba. Huwa siyo mtu wa short time akiwa juu ya kiuno n since i get everything sijawahi fikiria. But hii haina maana kuwa yeye hafanyi na ex wake!! Anafanya sana nami najua lakini nifanyeje ndoa naitaka.

kweli ndoa ndoano!
 
Caren unatoboa siri zetu nje sasa
Lakini kwa kuwa unaonekana weye ni mtaala wa misepo basi nataka kusepa nawe nikashuhudie how fantastic you are
 
hahaaa Mikela..

Hadithi hii ya kutunga ni tamu sana...

Yaani mtu mkeo amekuja kukuaga, and in just a few minutes umeshakimbilia forum unachapa letters? duh!!! Ok, lets assume that its a true story, Na huyo mama kakufuata guest, are you sure kwamba yeye hakua next room akiliwa na teamo au finest?

rules of infii are simplea nd clear, and for sure mikela you ahve just missed tehm na napendekeza wakuhamishie kwenye lile kundi la infii prevention movement
 
Leo wakati wa chakula cha mchana nikatoka na kabinti kamoja kageni kametoka chuoni siku za karibuni kwa ajili ya kupata mlo wa mchana.
Tukaenda florida pub na kuagiza mexican chicken na chips tukisindikiza na bia lainilaini.
Utamu ukanoga, nikamkokota mtoto mpaka kwenye kijihoteli kimoja kinaitwa kibodya inn hapo mtaa wa nkuruma.
Tukapewa chumba kizuri kabisa na shughuli ikaanza.
Foreplay za hatari na ufundi wa kufa mtu.
Mara kitu kimo ndani nje, kama mara kumi na mbili hivi tukasikia mlango ukigongwa.
Ukagongwa kwa mara ya pili na kwa nguvu zaidi.
Nikaona nikasikilize kuna nini.
Ile kutaka tu, nikakutana uso kwa uso na mke wangu.
Akaniambia niendelee tu na kumchapa huyo binti, ila alikuwa amekuja kuniaga kuwa anarudi kwao, na wala hana haja ya kugwana mali, ila atachukua nguo zake zote tu.
Nikabaki hoi, ulimi umenitoka nisijue la kufanya.
Muda huu ndio naingia ofisini na kujiuliza hivi hawa wakina teamo, ni lipi nimekosea kwenye katiba yao?

sasa huyu binti ameolewa? Maana sheria inasema mainfii wanatakiwa wawe wana ndoa zao.... Wewe hapa utakuwa umezini ndo maana umekamatwa lol
 
hahaaa Mikela..

Hadithi hii ya kutunga ni tamu sana...

Yaani mtu mkeo amekuja kukuaga, and in just a few minutes umeshakimbilia forum unachapa letters? duh!!! Ok, lets assume that its a true story, Na huyo mama kakufuata guest, are you sure kwamba yeye hakua next room akiliwa na teamo au finest?

rules of infii are simplea nd clear, and for sure mikela you ahve just missed tehm na napendekeza wakuhamishie kwenye lile kundi la infii prevention movement

hahaha this might be true!!
 
Hili linahitaji kuhifadhiwa kwa ajili ya future reference! Katibu? Mwanangu Caren kweli sasa umekua!

Kuna workmate hapa kazini kwangu juzijuzi kaenda Tanga kakutana na katoto disco pale La Casa Chica. Akaona huyo ndo wa kuonea. Usiku yuko kwenye shughuli kapewa mambo kanogewa akasahau kujilinda. Yule mtoto si akampiga :A S thumbs_up: ya tigo!!!!

Nimekuwa baba na hii ya mtoto wa Tanga ndiyo staili yangu mpya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom