Tamu ya infidelity imenitokea puani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tamu ya infidelity imenitokea puani

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Oct 6, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Leo wakati wa chakula cha mchana nikatoka na kabinti kamoja kageni kametoka chuoni siku za karibuni kwa ajili ya kupata mlo wa mchana.
  Tukaenda florida pub na kuagiza mexican chicken na chips tukisindikiza na bia lainilaini.
  Utamu ukanoga, nikamkokota mtoto mpaka kwenye kijihoteli kimoja kinaitwa kibodya inn hapo mtaa wa nkuruma.
  Tukapewa chumba kizuri kabisa na shughuli ikaanza.
  Foreplay za hatari na ufundi wa kufa mtu.
  Mara kitu kimo ndani nje, kama mara kumi na mbili hivi tukasikia mlango ukigongwa.
  Ukagongwa kwa mara ya pili na kwa nguvu zaidi.
  Nikaona nikasikilize kuna nini.
  Ile kutaka tu, nikakutana uso kwa uso na mke wangu.
  Akaniambia niendelee tu na kumchapa huyo binti, ila alikuwa amekuja kuniaga kuwa anarudi kwao, na wala hana haja ya kugwana mali, ila atachukua nguo zake zote tu.
  Nikabaki hoi, ulimi umenitoka nisijue la kufanya.
  Muda huu ndio naingia ofisini na kujiuliza hivi hawa wakina teamo, ni lipi nimekosea kwenye katiba yao?
   
 2. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ????????????????????????????????????????????
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Al shakhum si matusi.
  Usiigie kunya kwa tembo.
  Teamo ni professional player
   
 4. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Wanasema "Umelikoroga, sasa linywe".

  Wewe unataka kufanya nini kwani player? Kurudiana na mkeo au kuendeleza makamuzi? Maana sio watu wengine mnataka heshima ya kuitwa waume wakati wajibu na masharti ya ndoa hamuwezi.

  Wewe kama unataka makamuzi shukuru mkeo si Shakwanda type ambaye angekupeleka kwa cleaners. Mna watoto kwani ?

  Halafu ukiangalia sana pundangndang yenyewe haikuwa worth all that, bisha !
   
 5. RR

  RR JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Watu wana miaka zaidi ya kumi hawajawahi kukamatwa...sasa wewe siku moja tu....
  Nina maswali kibao ya kukuuliza...
   
 6. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2010
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Pole! Nenda kamwangukie mkeo ili uweze kuendelea kugain experience ya infidelity. Pia soma tene na tena Sheria na kanuni za infidelity. Kuna somewhere hukuzielewa vizuri.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa, hamfikii mama watoto wangu hata kidogo, ni tamaa tu ndo zilizoniponza.
  nina watoto wawili na wife ni kama bado hajazaa...
  hana kitambi, mrefu, mwembamba, na hana mikunjo usoni.
  Dah... kweli majuto mjukuu
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,154
  Trophy Points: 280
  Sasa unafikiri tutakusaidiaje?
  Muombe Teamo aje akuombee msamaha.
   
 9. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Binafsi sina uhakika kama hii ni real story, au ni usanii...! Lakini kama ni kweli, basi nakupa pole sana. Ndio maana hiki chama cha kufisadi hata maamuzi yako yaliyosahihi, na kumfanyia mwenzio ukatili ambao hata wewe pia usingeweza kuvumilia ukifanyiwa...! Tafadhali, kama unataka kumrudia mkeo na ukawa na amani, basi jiunge na upinzani na usikilize bunge vizuri (bila kusinzia), ili upatiwe tips za how to go about it....! This can be treated na ikarudi kama awali kabisa....!
   
 10. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160


  Pole sana kwa yaliokukuta ulipokosea ni KUONGOZANA NAE HADI SEHEMU YA TUKIO.Kwenye kanuni wanasema ni MWIKO KUONGOZANA sasa kitendo cha wewe kuongozana nae ndicho kilichokuaribia, pili ni marufuku kufanya infidelity inafanyiwa mbali na maeneo ya home,kazini kama wafanyakazi mjini ulitakiwa uende mbali na mji km: Mbagala,Gongolamboto,Mbezi ama Tegeta nk
   
 11. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mshahara wa DHAMBI.....................!
   
 12. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  vere gud ..
   
 13. Caren

  Caren JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 12, 2010
  Messages: 280
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  The story is too good to be true maana kama ni kweli huwezi kurudi ofisini. The rule for any infidel is that once caught na huwezi kudeny then admit and apologise kwa umpendaye hivyo huwezi kurudi ofisini.

  But assuming that its true then Teamo and co. should cleary tell u that you broke the following principles:
  1. Never go into the infidelity game (while you are new comer into the game) with a new comer. Find someone more experienced akupe experience. Siyo mbaya kwa mwanaume kutoka na jimama.

  2. Never ever while in DSM town go and cheat with anyone at the following hotels: Kibodya Inn, Durban Hotel, Bondeni Hotel (Magomeni). Everybody in town goes to those hotel and many of us ladies are aware of them.

  3. Always trace your movements in every corner you go. Dont leave traces of your movements (Same way with deleteing sms and recent call lists).

  4. Never cheat or pick a girl while you are not sure of your wives movement. Ensure all the time you have someone to trace her. if she is a house wife use the housegal or if she has a sister use her to know her movemnets while you are on your move.

  5. Never open a door while you are in a hotel room. Let them break the door. (By the time they break the door wewe utakuwa tayari umeshavaa, umetandika kitanda, umefuta sperms na uko kwenye meza unafanya interview na mdada wako kama alivyofanya yule mkuu wa wilaya kule kusini). Ingawa hii haitamek sense kwa mama watoto but its easy to be excused bcoz hatakuwa na evidence na hakuna kosa kisheria kufanya intervieew na mfanyakazi wako kokote hata kama hotelini. (Usisahau kumkumbusha mama watoto pia mkataba wa Richmond ulisainiwa chumbani kwa Karamagi kule London).

  6. If its really important to open the door always make the gal do that. Hakuna ujasiri wowote unaoufanya kwa wewe kuwahi mlango. Dont 4get kuwa adhabu nyingine kubwa ya cheaters ni kumwagiwa acid (ref. kubenea) so its better if its your better half who suffers the consequences.

  7. Beware of hotels ambazo hazina alternative ways za kusepa. Do your research. I am sure the infidels themselves will give you the hotel names.

  LADIES BE HAPPY!! NIMEWAPA TRICKS ZOTE AMBAZO WANAUME WETU HUWA WANATUMIA WANAPOKUWA WANACHEAT ON US. SO NEXT TIME YOU KNOW WHAT TO DO ESPECIALLY NO. 6.

   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Smiles saidia hapa....huyu ameongoka bila ya shaka yeyote.

  Kamati kuu itakaa ijumaa kujadili huu upuuzi wako. Kimsingi umeonyesha uzembe Wa hali ya juu.
   
 15. RR

  RR JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Hii ya tatu imenivunja mbavu mbili, ila umesahau Namnaani, Equator .....ofkoz hizi tahadhari zina make sense....
  Asante Caren mwenye jina kama la mwanae Asprin.....
   
 16. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  M kakuaga maana yake anawapa nafasi wenzako wakware kama wewe...!! neda nawe kafumanie!!:tonguez:
   
 17. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kama kweli imetokea ina maana mkeo kakutilia shaka muda mrefu na leo alikuwa anakufatilia.
   
 18. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mwache na yeye akajivinjari kwa muda wa mwaka mmoja hivi. Akichoka atarudi.

  Cha kufanya sasa wewe na mademu iwe basi, usitafute mwingine kamwe. Tulia ulee watoto hadi hapo mkeo atakapoamua kurudi home.
   
 19. k

  kisukari JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  Tobaaaa!!,kwa nini wanaume mnapenda kucheat?cha ajabu,mkifumwa mnakuwa kama na majuto fulani,lakini kama hamjafumwa mnaendelea ku cheat tuu,jee ya wake zenu inakuwa haina test tena?au fulani kafanya na mimi wacha nijaribu?na huko nje test inakuwa nzuri kuliko ya ndani?kama huyu aliefumwa,anasema mke wake ni mzuri tu kuliko huyo dada,na kila nikiingia humu j.f,ku cheat kwa kwenda mbele,kwa hali hii,na inaonyesha hali halisi ya wanaume wa kibongo.Humu j.f,waliekuwa faithful ni wachache mno.Mimi nikiwa na mtu,siwezi ku cheat hata siku moja,ila mnanifanya niwe muoga kuwaamini wanaume,kwa hali hii nitatafuta s.. toys nijipe raha mwenyewe.Ila kuwa single kwa muda mrefu mwisho wake nitadoda. Na wewe ulie cheat mpe muda mke wako,na uifanye kazi ya nguvu ya kuomba msamaha,na ikibidi ulie,mwisho wa yote atakusamehe tu.Sisi wanawake tuna moyo wa kusamehe,akishakusamehe,chukua holiday honeymoon irudi upya kabisa,ila usirudie tena,at the end nyama ni ile ile.muhimu ubadilisha mazingira tu na mke wako,ukitafanya hivyo,utahisi test iko pale pale.kwani nyie mnao cheat,test ni ile ile,ila kwa kuwa mnabadilisha mazingira{ma guest house au hotel}ndio maana mnahisi ni raha fulani,raha ziko wapi kwanza inabidi m use condom,na wasiwasi tele baada ya tendo.Yote ya nini?kaeni na wake zenu,
   
 20. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  vya wizi vitamu jamani lakini vikiingia shubiri ndo ivo jipe mpe muda mkeo atakusamehe hata mkiachana dunia ya leo watu walewale na mambo yale yale hata usipomfuma nyuma ya pazia anafanya mauchafu usiyotegemea nimefurahia kuona huku kuna chama cha ISC bora kuwa wakweli nataka nimshauri wife ajiunge huko lakini asisahau kusoma vizuri sheria zao
   
Loading...