Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,845
- 52,257
Usiombe awe wa man city kala kichapo cha chelsea..yani hasira zote zinaishia kwako..
mbona na nyie mnaenda kuangalia mpira mnarudi saa7 usiku na kero zaid unataka ufunguliwe mlango, uandaliwe maji ya kuoga na ukitoka kuoga ukute chakula mezani. Wakati sie tamthilia tunaangalia ndani na hakuna wa kumsumbua