Tamthilia zinaharibu wake zetu

Tamthilia zinaharibu wake zetu

Kwani taamthilia inafika hadi asubuhi? Ikiisha saa 6 usku si utakula tunda? Mimi sioni kama hilo ni tatizo ebu msiwaharibie starehe wenzenu.
mkuu tunda utakula sa sita usiku wakati unatakiwa uamke sa kumi kuwahi foleni. chezea kukaa nje ya mji
 
Sisi wanaume yetu mpira na sasa hivi mashabiki wa Arsenal wanachekaaaaa huku wale wa Man u wakiendelea kufa kwa presha,

Nirudi kwenye mada unajua wanawake wanapenda tamthilia hasa za kifilipino na Mexico tena hata kama hajui kingereza husikia na kuelewa na ukitaka anune mpaka apasuke weka mpira wakati kuna tamthilia kuepusha haya mtoto wa kiume unajichanga unanunue Tv mbili moja chumbani na sebuleni sasa na mimi wenye chumba kimoja sijui,

Nirudi kwenye mada unajua zile tamthilia wanaigiza sasa hawa wanawake wa kibongo wanataka mapenzi kama yale ya kithamthilia oh! mara baby,sweetie mara honey na outing wakati usawa wenyewe wa kulenga kwa manati, kumbukeni na wao wanaigiza hawafanyi hayo yote mnayoyaona.

kwani wewe mdogo wangu hujajua kwa nini wanawake wanapenda hizo tamthilia, hebu angalia hao wanaume walioko kwenye hizo tamthilia. wewe jaribu kuchunguza utaona kuna actors ndio wanapendwa zaidi, i am sure hizo tamthilia zingekuwa za wanawake watupu hata zingekuwa nzuri kivipi wasingeziangalia. wanawake huwa nao kuna vitu vinawavutia kutoka kwa wanaume ila wakivikosa in real world huwa inabidi waishie kwa TV.
nakumbuka tulikuwa na classmate mwarabu wakti tuko sekondari, yaani ikifika saa ya kwenda nyumbani watu walikuwa wanakaa nje kusubiri huyu mwarabu aje kchukuliwa na kakaake, kuja kufuatilia kumbe kakaake alikuwa wale waarabu mahandsome sasa wasichana wakimuona wanachanganyikiwa hapa ndio nilipojifunza kumbe wanawake na sisi huwa tunapenda wanaume wazuri!! na hata kushangaa kama wanaume wanavyoshangaa wakiona wanawake wazuri.
ila hayo ni maoni yangu wanawake mnaweza kunisaidia ila na uzee huu nimeona waawake wengi tu wakifurahia kuwa na wanaume wenye muonekano mzuri.
 
Ni swala la muda tu, na upungufu wa majukumu ya familia na kikazi tu nadhani biashara za kugeza usiku kuwa mchana zisingelikuwapo.
 
Endeleza tu mapenzi ya kibandidu...
mwanamke akikuambia anataka afanye we nini ooh tamthilia, njemba zikimfanyia unalia ila tu kamasi hizooooo

Kama u anaona kutoka outing ni tamthilia, wanaojua mapenzi wakintoa out mkewe asije kulia lia hunu
 
mkuu tunda utakula sa sita usiku wakati unatakiwa uamke sa kumi kuwahi foleni. chezea kukaa nje ya mji

mbona na nyie mnaenda kuangalia mpira mnarudi saa7 usiku na kero zaid unataka ufunguliwe mlango, uandaliwe maji ya kuoga na ukitoka kuoga ukute chakula mezani. Wakati sie tamthilia tunaangalia ndani na hakuna wa kumsumbua
 
Kumbe????
 
Ona kutoka na mkewe ni tamthilia ila akiwa na vicheche ni nomal kweli kuolewa na mlugaluga ni mzigo
 
mkuu tunda utakula sa sita usiku wakati unatakiwa uamke sa kumi kuwahi foleni. chezea kukaa nje ya mji

Mbona mnacomplicate mambo? Tamthilia za startv huwa zinakuwa jumanne, ijumaa, jumamosi na jumapili. Siku za jumatatu,jumatano na alhamisi uko free kula tunda, isitoshe siku za wekend si upo? Muda wowote unaeweza kula kwani kula tunda kunachukua muda gani na ni lazima iwe kila siku? Msitafute visingizio vya kuwaharibia sarehe wake zenu.
 
Wanaume wa kizazi hiki punguzeni kulalamika,mnatia aibuuu!

Puuuuuuuhhhh
 
Wewe ukienda kuangalia mpira anakufataaaa??
 
Mbona mnacomplicate mambo? Tamthilia za startv huwa zinakuwa jumanne, ijumaa, jumamosi na jumapili. Siku za jumatatu,jumatano na alhamisi uko free kula tunda, isitoshe siku za wekend si upo? Muda wowote unaeweza kula kwani kula tunda kunachukua muda gani na ni lazima iwe kila siku? Msitafute visingizio vya kuwaharibia sarehe wake zenu.

Yaan watu wanokula tunda juu juu utawajua tu nso maana mnamegewa tunda linahtaj
Muda
Ufundi
Na weledi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom