Sisi wanaume yetu mpira na sasa hivi mashabiki wa Arsenal wanachekaaaaa huku wale wa Man u wakiendelea kufa kwa presha,
Nirudi kwenye mada unajua wanawake wanapenda tamthilia hasa za kifilipino na Mexico tena hata kama hajui kingereza husikia na kuelewa na ukitaka anune mpaka apasuke weka mpira wakati kuna tamthilia kuepusha haya mtoto wa kiume unajichanga unanunue Tv mbili moja chumbani na sebuleni sasa na mimi wenye chumba kimoja sijui,
Nirudi kwenye mada unajua zile tamthilia wanaigiza sasa hawa wanawake wa kibongo wanataka mapenzi kama yale ya kithamthilia oh! mara baby,sweetie mara honey na outing wakati usawa wenyewe wa kulenga kwa manati, kumbukeni na wao wanaigiza hawafanyi hayo yote mnayoyaona.