Tamthilia ya Waris ni nzuri sana

Tamthilia ya Waris ni nzuri sana

Episode ya 96, nimeibahatisha leo.
 
Amba Pawania, kumbukumbu zimemrudia sasa
 
Nimeikosa na Leo
 
Tamthilia hii ni nzuri mno, ninetoka kuiangalia sasa hivi.
 
Leo niko room mapema.
Nitacheki
 
Siajelewa Manuu na Raj
 
Tangu Manuu abadilike sura baada ya kukua, ndo niliacha hapo hapo, Manuu mtoto he/she was very smart na ndio alikua anaipendezesha movie, wa sasa hamna kitu
 
Tangu Manuu abadilike sura baada ya kukua, ndo niliacha hapo hapo, Manuu mtoto he/she was very smart na ndio alikua anaipendezesha movie, wa sasa hamna kitu
Sawa sawa.
Ndio maana sielewi hata
 
Back
Top Bottom