tampons......

unatakiwa kununua saizi yako ..
yote inategemeana na kiasi gani cha periodi
unapata kwa mwezi. Na hapana haziharibu mashine
kwasababu ni ndogo kuliko mtarimbo wowote. pale tu
ikisha jaa ina expend hata na hivyo ni soft sana hata ikijaa..
 
duh, natamani kuuliza swali la kijinga sababu sijui kiukweli.
Itabidi mwalimu, nikuPM tu.
 
duh, natamani kuuliza swali la kijinga sababu sijui kiukweli.
Itabidi mwalimu, nikuPM tu.

kuuliza ni kujifunza my dear ..
ukiuliza wewe wengi watafaidi..
kama unaona sooo unaweza kuni PM au
nikafungua thread kwa faida ya wote "your choice"
 
mmh....mbona hajaweka warning kuwa hapa ni 'kwa wanawake tu?'
 
Unatembeaje na kitu kati ya miguu?
Ukitembea si ni kama una du?
Heavy flows?
kuuliza ni kujifunza my dear ..
ukiuliza wewe wengi watafaidi..
kama unaona sooo unaweza kuni PM au
nikafungua thread kwa faida ya wote "your choice"
 
Unatembeaje na kitu kati ya miguu?
Ukitembea si ni kama una du?
Heavy flows?

hahahah lolz
Kwanza kabisa hauweki kati kati ya miguu
unaweka ndani zaidi nikimaanisha "Vagina"
Na ukiiweka kama inavyotakiwa hata hutaihisi ipo hapo.

Na hapana ukitembea ni kawaida kabisa . maana
hauihisi kabisa. na hii yote inategemea umeiwekaje..
ukiisukuma vizuri ndani , itakaa fresh na kuisahau kabisa..

Heavy flow ..
Kuna aina tatu za Tampons ..
mini , regular na super.. kwa hiyo yote
inategea na kiasi gani cha period huwa uanapata kwa mwezi ..
 
Unaona kama vile tunaongelea barazani na watoto wanatusikia? Ila kweli kama vile atuite nyumbani atufundishe

hapa mikono na midomo imefungwa.
Haya ngoja ninyamaze, sema ikiwa hapa nashawishika kufungua.

BTW unataka umbea?
 
Unaona kama vile tunaongelea barazani na watoto wanatusikia? Ila kweli kama vile atuite nyumbani atufundishe

hapa mikono na midomo imefungwa.
Yeahh atupeleke chumbani hata wenye aibu zao wafunguke.
 
Back
Top Bottom