tampons......

naoba utupe sababu za kwanini hazifai??
huwezi mpa ushauri mtu na huna sababu ya maana.. asante
Hazifai kwa wasichana, possible a girl is still virgin hatoweza kusokomeza ile.
Bt 4 women ni nzuri wala hazina madhara ila mm for the first 2 days lazima niweke ile na pad ndo ntakua comfortable
 
duh, natamani kuuliza swali la kijinga sababu sijui kiukweli.
Itabidi mwalimu, nikuPM tu.

.... Daaah nami pia nilitaka kuuliza. Thanx Allah hatimae nimeelewa. Lakini kwe2 wengi bado wanatumia 'masambi',wajanja wachache pad.
 
naoba utupe sababu za kwanini hazifai??
huwezi mpa ushauri mtu na huna sababu ya maana.. asante

kutokana na nilivyokuzwa kimaadili, ya kabila letu, mtoto wa kike kutunza bikra ni muhimu hadi pale akipata ndoa, sasa basi hizi tampoons ukizipachika unakuwa una unaharibu bikra, ndio maana naona hazifai kwa matumizi ya wasichana kabla ya ndoa. ni hivyo tu, sababu ya kujamii (cultural, social), kisayansi hakuna madhara yeyote, ila unashauriwa kupadilisha kila baada ya masaa si zaidi ya 4
 
Back
Top Bottom