Tamko toka Tanzania International University kuhusu ajira walizotangaza


tunajua wewe ni tapeli dr magumashi Mnzava, unatetea utapeli wako. Shukuru Mungu serikali yetu imelala. Mnachukulia tatizo la ajiro kujinufaisha. Muogopeni Mungu
 
me nitaomba, elfu 20000 kitu gani bwana mbona mademu zenu munawahonga zaidi ya hiyo amount lakini kuombea kazi mnajifanya kuweza ku-budget
 
Sidhani kama kweli mpo serious na plan zenu kwa hiyo mwenye sifa akose nafasi ya kufanya kazi kisa hana 20,000 naona kila dalili ya kuita watu 500 kwenye interview ilimradi mle 20,000 take at least Chuo wanachukua 80,000 hadi applicant 200 kwa kozi sasa nyie huu kama sio wizi ni nn. C mgeomba utumishi wawasaidie kuajiri kuna makampuni kibao ya kuajiri kwa nini msiyatumie acheni ubabaishaji na kuwaibia maskini kila kukicha majambazi wakubwa nyie.
 
Nilikuwa naomba mtu yoyote mwenye information za TIU juu ya interview yao baada ya kulipia ile hela ,labda lini watatuita kwenye usaili kwa wale waliolipia kama ww hutaki maendeleo usijibu message hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…