Tamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo

Haya ndio hivyo....Ndugu Zuberi Kabwe tunasema vijana wa mjini.....kaamua kujilipua......kwa kiasi wakati naanza kuisoma taarifa yake kupitia Millad Ayo, akili iliegemea moja kwa moja katika azimio na sera ya ujamaa anayo iamini na kuichukua kama muongozo ndugu yetu bwana ZITTO.....

Kweli nilishikwa na mshangao kadiri nilipo kuwa nasoma figa (tarakimu) za mapesa na maekari anayo miliki Mbunge huyu...!!

Kadai ana gari Land Rover la thamani ya dola 40000 (elfu arobaini)

Kweli ndie yeye...!! Je mpaka anafikia umri wa kumaliza ubunge wake atakuwa na UKWASI wa namna gani....!!?

Kulikoni/kitatokea nini Mungu akifanya miujiza akamfufua Baba wa TAIFA na kuzikuta taarifa hizi....!!

Sasa nimegundua kwa nini wana taaluma wanaikimbilia SIASA..

HUYO NI MJAMAA ZUBERI KABWE tusubiri taarifa za MZEE WA "VIJISENTI" na mama wa "MILIONI NI PESA YA MBOGA" AIBU YAO WANASIASA WA BONGO (wana wa Raisi Bongo)View attachment 452075View attachment 452076View attachment 452077View attachment 452078View attachment 452079View attachment 452080
Hiyo picha ya viatu vya mkuki moyoni vilivyomzidi mvaaji inamaanisha nini ?
 
Nimepitia vizuri sana taarifa yako Mh. Zitto na nimejifunza vitu vingi sana na natumai si mimi tuu bali watanzania tulio wengi na nazani umetoa majibu mengi na muhimu juu ya shutuma za serikali ya hawamu ya 5,,me binafsi nimejifunza yafuatayo,,

1)Ukiangalia kwenye fomu za Mh. mshaara wa mbunge kwa sasa ni 99,500,000/= kwa mwaka so ukigawa mara 12= 8,291,666.667/= kwa mwezi,,

SWALI 1:
je kwa kipindi icho cha miezi 12, mbunge anafanya kazi miezi ngapi?

SWALI2:
Kwa ninavyofahamu me,bunge lina vikao viwili 2 au 3 na jumla ya muda wa vikao vyote havizidi miezi 6,sasa iweje walipwe mshaara wa mwaka mzima wakati hawaishi majimboni mwao,,wote wapo Dar so hizo kazi wanafanya saa ngapi na wapi?

Nna rafiki/ndugu yangu,,alikuwa mwalimu wa sekondari wakati ana Masters ya MPA,,sasa amekuwa promoted so ni ass. lecturer chuoni fulani,,wakati mwl alikuwa analipwa mshaara wa 240,000/= kwa mwezi,,

SWALI3:
sasa najiuliza kati ya mbunge na mwalimu na mtu muhimu?Kwa hesabu za haraka mshaara wa Mh. ni 8,291,666.667/= wakati wa mwalimu ni 240,000/=. Kwa maana iyo mshaara wa mbunge 1 ni sawa na mishaara ya walimu (8,291,666.667/240,000)=34.

SWALI 4:
Kwa maelezo ya swali la 3,,je elimu itafikia mahali ambapo tunataka ifike kwa walimu kujituma,,kuwa wabunifu na kufanya kazi kwa moyo?

NILICHOJIFUNZA:
1)WATANZANIA TUACHE KULALAMIKA NA KULAUMU KUPITA KIASI KWA KUWA NCHI ILIFIKA MAHALI PABAYA SANA NA MASKINI TULISHASEMA BASI NA OGOPA SANA MASKINI AKISEMA BASI KWANI ATAKUWA TAYARI KWA LOLOTE.
IVYO TUMWACHE RAIS AFANYE KAZI YA KULETA USAWA NA KUONDOA MATABAKA.
Nani kaifikisha huko "Pabaya sana"?
Hatua tunayoichukua ni kuiondoa ccm "iliyotufikisha" hapa tulipo!!!!

Zitto unayemsifia ametumika (na ccm) kutuhujumu ikiwemo kutumika kuanzisha act ili kuleta ukengeufu kwa wananchi.

ZITTO NI NYOKA.
 
Achaneni na salary kuna posho ya kukaa kitako bungeni ambacho ni 300k kwa siku.....ambayo ni sawa na salary ya waajiriwa wengi tu wa serikali......wabunge wanapewa kwa siku!!!
 
Jaman kwa nn upotoshaji unakuwa mwingi hv?, ni mwal wa level IPI anayelipwa 240,000?, jutue kwanza elimu yake kiwango gan na amefanya kaz miaka mingapi
 
Nimepitia vizuri sana taarifa yako Mh. Zitto na nimejifunza vitu vingi sana na natumai si mimi tuu bali watanzania tulio wengi na nazani umetoa majibu mengi na muhimu juu ya shutuma za serikali ya hawamu ya 5,,me binafsi nimejifunza yafuatayo,,

1)Ukiangalia kwenye fomu za Mh. mshahara wa mbunge kwa sasa ni 99,500,000/= kwa mwaka so ukigawa mara 12= 8,291,666.667/= kwa mwezi,,

SWALI 1:
Je, kwa kipindi icho cha miezi 12, mbunge anafanya kazi miezi ngapi?

SWALI 2:
Kwa ninavyofahamu me,bunge lina vikao viwili 2 au 3 na jumla ya muda wa vikao vyote havizidi miezi 6,sasa iweje walipwe mshahara wa mwaka mzima wakati hawaishi majimboni mwao, wote wapo Dar so hizo kazi wanafanya saa ngapi na wapi?

Nna rafiki/ndugu yangu alikuwa mwalimu wa sekondari wakati ana Masters ya MPA, sasa amekuwa promoted so ni ass. lecturer chuoni fulani wakati mwl alikuwa analipwa mshaara wa 240,000/= kwa mwezi,,

SWALI3:
Sasa najiuliza kati ya mbunge na mwalimu na mtu muhimu?Kwa hesabu za haraka mshahara wa Mh. ni 8,291,666.667/= wakati wa mwalimu ni 240,000/=. Kwa maana hiyo mshahara wa mbunge 1 ni sawa na mishaara ya walimu (8,291,666.667/240,000)=34.

SWALI 4:
Kwa maelezo ya swali la 3,,je elimu itafikia mahali ambapo tunataka ifike kwa walimu kujituma,,kuwa wabunifu na kufanya kazi kwa moyo?

NILICHOJIFUNZA:
1)WATANZANIA TUACHE KULALAMIKA NA KULAUMU KUPITA KIASI KWA KUWA NCHI ILIFIKA MAHALI PABAYA SANA NA MASKINI TULISHASEMA BASI NA OGOPA SANA MASKINI AKISEMA BASI KWANI ATAKUWA TAYARI KWA LOLOTE.

HIVYO TUMWACHE RAIS AFANYE KAZI YA KULETA USAWA NA KUONDOA MATABAKA.
Waalimu tena? Hii Jamii Forum sasa iitwe waalimu forum
 
Jamani hii ni sawa na haki ?? NSSF inakusanya pesa zetu sisi wafanyakazi wanyonge halafu pesa hizo wanapewa baadhi ya watu wenye uwezo na vigogo kama hii hapa chini
Screenshot_2016-12-30-15-59-43.png
 
Suala la msingi ni kuelewa mtoa mada alikusudia nini, if that's the case ni vizuri walimu waboreshewe mishahara ili wafanye kazi kwa moyo na uzalendo
 
Mining wanafanya rotation lakini hayo masaa ya kazi ni zaidi ya kawaida
My point was, tusilalamike tu bila kujua utaratibu wa sehemu husika. Manesi wana night na off kadhaa, lakini mshahara ni wa mwezi. Hao wa migodini nao pamoja na rotation, wa offdays ndani ya muda wanaokuwa on duty
 
Anafanya biashara gani zaidi ya siasa? Kama unaishi wingereza hizo ni zaidi ya £180,000 na kama marekani unaongelea $220,000. For UK huo ni mshahara wa Engineer mbobezi kwa mwaka na marupurupu. Tujuzeni biashara anazofanya au investment alizonazo.
 
Yani michango yetu ya NSSF hawataki kutupa Bali wanakopeshana ndiyo maana huwezi kusikia mbunge anapigia kelele hii mifuko ya hifadhi ya jamii sababu wao mdio wanufaikaji wakubwa
Mkuu nimeshangaa sana kuona NSSF wanakopesha iweje sisi wanachama tusikopeshwe,Ndiyo maa nasuala la fao la kujitoa wapo kimya kumbe wabunge wetu wanakopa
 
Back
Top Bottom