Tamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo

We Peter Simba, amemaliza utata ki vipi?
ebu tujuze hapa, ufafanuzi wako umetokana na nn?

tukisoma post yako kwa muundo wake hatuwezi kukuelewa vyema, tutaanza kujaza nafasi isiyoachwa wazi!!
kilikuwa kimetokea nini hadi akafafanua kama ulivyomaanisha?
hujaona fomu za kiapo za Mh. Zitto kwenda ofisi ya Maadili kwa viongozi?zitafute na zipitie vizuri brother utazielewa
 
Nje ya zile mil 300 ambazo act inadaiwa, kiongozi wake mkuu zitto kabwe yeye binafsi anadaiwa zaidi ya million 500
Screenshot_2016-12-30-15-57-24.png
 
Kawaida tu.
...yeye kama raia wa dunia hii ana haki kabisa kukopa ili kurahisisha shughuli za uendeshaji wa maisha yake.-issue ni alipe tu sawasawa na walivyokubaliana na mkopeshaji wake.

.....ni hayo tu kwa Leo.
 
Haya mbunge Zitto tumeona ujasiri unao, Ngoja tuwasikilizie na hawa:

1.Abdul-Aziz Mohamed Abood
2. Freman Aikael Mbowe
3.Ahmed Mabkhut Shabiby
4.Jitu Vrajlal Soni
5.Ridhiwani Jakaya Kikwete
6.Andrew John Chenge
7.Nimrod Elirehemah Mkono
8.Ahmed Saddiq Suleiman
9. etc
 
hujaona fomu za kiapo za Mh. Zitto kwenda ofisi ya Maadili kwa viongozi?zitafute na zipitie vizuri brother utazielewa
mtoa habari alitakiwa aambatanishe na maelezo ya hizo fomu, wahitaji tuko wengi, siwezi kuwa mimi tu, uzi haujakamilika huu!
 
Acha unafiki wako,lengo ni ww kuwasilisha...sasa magufuli anahusikaje?

Kwani wajibu wake yy hautambui mpaka akumbushwe na wahuni?
 
Nimepitia vizuri sana taarifa yako Mh. Zitto na nimejifunza vitu vingi sana na natumai si mimi tuu bali watanzania tulio wengi na nazani umetoa majibu mengi na muhimu juu ya shutuma za serikali ya hawamu ya 5,,me binafsi nimejifunza yafuatayo,,

1)Ukiangalia kwenye fomu za Mh. mshaara wa mbunge kwa sasa ni 99,500,000/= kwa mwaka so ukigawa mara 12= 8,291,666.667/= kwa mwezi,,

SWALI 1:
je kwa kipindi icho cha miezi 12, mbunge anafanya kazi miezi ngapi?

SWALI2:
Kwa ninavyofahamu me,bunge lina vikao viwili 2 au 3 na jumla ya muda wa vikao vyote havizidi miezi 6,sasa iweje walipwe mshaara wa mwaka mzima wakati hawaishi majimboni mwao,,wote wapo Dar so hizo kazi wanafanya saa ngapi na wapi?

Nna rafiki/ndugu yangu,,alikuwa mwalimu wa sekondari wakati ana Masters ya MPA,,sasa amekuwa promoted so ni ass. lecturer chuoni fulani,,wakati mwl alikuwa analipwa mshaara wa 240,000/= kwa mwezi,,

SWALI3:
sasa najiuliza kati ya mbunge na mwalimu na mtu muhimu?Kwa hesabu za haraka mshaara wa Mh. ni 8,291,666.667/= wakati wa mwalimu ni 240,000/=. Kwa maana iyo mshaara wa mbunge 1 ni sawa na mishaara ya walimu (8,291,666.667/240,000)=34.

SWALI 4:
Kwa maelezo ya swali la 3,,je elimu itafikia mahali ambapo tunataka ifike kwa walimu kujituma,,kuwa wabunifu na kufanya kazi kwa moyo?

NILICHOJIFUNZA:
1)WATANZANIA TUACHE KULALAMIKA NA KULAUMU KUPITA KIASI KWA KUWA NCHI ILIFIKA MAHALI PABAYA SANA NA MASKINI TULISHASEMA BASI NA OGOPA SANA MASKINI AKISEMA BASI KWANI ATAKUWA TAYARI KWA LOLOTE.
IVYO TUMWACHE RAIS AFANYE KAZI YA KULETA USAWA NA KUONDOA MATABAKA.
Acha wivu wa kike kama unaona wabunge wanafaidi si ugombee na wewe uwe mbunge kama vp jiandae 2020
 
Haya mbunge Zitto tumeona ujasiri unao, Ngoja tuwasikilizie na hawa:

1.Abdul-Aziz Mohamed Abood
2. Freman Aikael Mbowe
3.Ahmed Mabkhut Shabiby
4.Jitu Vrajlal Soni
5.Ridhiwani Jakaya Kikwete
6.Andrew John Chenge
7.Nimrod Elirehemah Mkono
8.Ahmed Saddiq Suleiman
9. etc

Eti hahaa unawatafta
 
Back
Top Bottom