Tamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo

Ubunge in biashara kubwa sana kwa kweli, sasa hilo deni lots kwa mapato tu ya ubunge atalipaje? au anatuletea mapicha tu!
 
Milioni 99 kwa mwaka....masikini hii ni pension ya mwalimu anayestaafu aisee wabunge Mungu anawaona!!!!
 
Leo nimepata elimu kupitia hii fomu ya bwana Zito. kumbe wakati wa kampeni huwa tunadanganywa sana!! mimi nilifikiri mwajiri wa bwana Zito ni wananchi wa jimbo la kigoma mjini kumbe ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!!!!! kwa hiyo ina maana wabunge wasipochaguliwa huyu mwajiri " Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" atakuwepo tu.
 
Leo nimepata elimu kupitia hii fomu ya bwana Zito. kumbe wakati wa kampeni huwa tunadanganywa sana!! mimi nilifikiri mwajiri wa bwana Zito ni wananchi wa jimbo la kigoma mjini kumbe ni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!!!!!! kwa hiyo ina maana wabunge wasipochaguliwa huyu mwajiri " Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania" atakuwepo tu.
Kwani mkwanja wake analipwa na wanakigoma au bunge?
 
Haya ndio hivyo....Ndugu Zuberi Kabwe tunasema vijana wa mjini.....kaamua kujilipua......kwa kiasi wakati naanza kuisoma taarifa yake kupitia Millad Ayo, akili iliegemea moja kwa moja katika azimio na sera ya ujamaa anayo iamini na kuichukua kama muongozo ndugu yetu bwana ZITTO.....

Kweli nilishikwa na mshangao kadiri nilipo kuwa nasoma figa (tarakimu) za mapesa na maekari anayo miliki Mbunge huyu...!!

Kadai ana gari Land Rover la thamani ya dola 40000 (elfu arobaini)

Kweli ndie yeye...!! Je mpaka anafikia umri wa kumaliza ubunge wake atakuwa na UKWASI wa namna gani....!!?

Kulikoni/kitatokea nini Mungu akifanya miujiza akamfufua Baba wa TAIFA na kuzikuta taarifa hizi....!!

Sasa nimegundua kwa nini wana taaluma wanaikimbilia SIASA..

HUYO NI MJAMAA ZUBERI KABWE tusubiri taarifa za MZEE WA "VIJISENTI" na mama wa "MILIONI NI PESA YA MBOGA" AIBU YAO WANASIASA WA BONGO (wana wa Raisi Bongo)
1483102369975.jpg
1483102379035.jpg
1483102390026.jpg
1483102397936.jpg
1483102405827.jpg
1483102435919.jpg
 
Na utaona mengi mpaka tumeanza kumjengea mfalme wetu airport binafsi.....NDIPO TULIPOFIKA. NA TUTAISOMA ZAIDI NAMBA
 
Nimepitia vizuri sana taarifa yako Mh. Zitto na nimejifunza vitu vingi sana na natumai si mimi tuu bali watanzania tulio wengi na nazani umetoa majibu mengi na muhimu juu ya shutuma za serikali ya hawamu ya 5,,me binafsi nimejifunza yafuatayo,,

1)Ukiangalia kwenye fomu za Mh. mshahara wa mbunge kwa sasa ni 99,500,000/= kwa mwaka so ukigawa mara 12= 8,291,666.667/= kwa mwezi,,

SWALI 1:
Je, kwa kipindi icho cha miezi 12, mbunge anafanya kazi miezi ngapi?

SWALI 2:
Kwa ninavyofahamu me,bunge lina vikao viwili 2 au 3 na jumla ya muda wa vikao vyote havizidi miezi 6,sasa iweje walipwe mshahara wa mwaka mzima wakati hawaishi majimboni mwao, wote wapo Dar so hizo kazi wanafanya saa ngapi na wapi?

Nna rafiki/ndugu yangu alikuwa mwalimu wa sekondari wakati ana Masters ya MPA, sasa amekuwa promoted so ni ass. lecturer chuoni fulani wakati mwl alikuwa analipwa mshaara wa 240,000/= kwa mwezi,,

SWALI3:
Sasa najiuliza kati ya mbunge na mwalimu na mtu muhimu?Kwa hesabu za haraka mshahara wa Mh. ni 8,291,666.667/= wakati wa mwalimu ni 240,000/=. Kwa maana hiyo mshahara wa mbunge 1 ni sawa na mishaara ya walimu (8,291,666.667/240,000)=34.

SWALI 4:
Kwa maelezo ya swali la 3,,je elimu itafikia mahali ambapo tunataka ifike kwa walimu kujituma,,kuwa wabunifu na kufanya kazi kwa moyo?

NILICHOJIFUNZA:
1)WATANZANIA TUACHE KULALAMIKA NA KULAUMU KUPITA KIASI KWA KUWA NCHI ILIFIKA MAHALI PABAYA SANA NA MASKINI TULISHASEMA BASI NA OGOPA SANA MASKINI AKISEMA BASI KWANI ATAKUWA TAYARI KWA LOLOTE.

HIVYO TUMWACHE RAIS AFANYE KAZI YA KULETA USAWA NA KUONDOA MATABAKA.
 
Labda ACT ikikamata dola ndio huo ujamaa utaanza ku-apply kwa sasa sio rahisi kwa sababu yupo kwenye mfumo wa mwingine wenye sifa ambazo zinazoendana na hizo taarifa zake.
 
Nimepitia vizuri sana taarifa yako Mh. Zitto na nimejifunza vitu vingi sana na natumai si mimi tuu bali watanzania tulio wengi na nazani umetoa majibu mengi na muhimu juu ya shutuma za serikali ya hawamu ya 5,,me binafsi nimejifunza yafuatayo,,

1)Ukiangalia kwenye fomu za Mh. mshaara wa mbunge kwa sasa ni 99,500,000/= kwa mwaka so ukigawa mara 12= 8,291,666.667/= kwa mwezi,,

SWALI 1:
je kwa kipindi icho cha miezi 12, mbunge anafanya kazi miezi ngapi?

SWALI2:
Kwa ninavyofahamu me,bunge lina vikao viwili 2 au 3 na jumla ya muda wa vikao vyote havizidi miezi 6,sasa iweje walipwe mshaara wa mwaka mzima wakati hawaishi majimboni mwao,,wote wapo Dar so hizo kazi wanafanya saa ngapi na wapi?

Nna rafiki/ndugu yangu,,alikuwa mwalimu wa sekondari wakati ana Masters ya MPA,,sasa amekuwa promoted so ni ass. lecturer chuoni fulani,,wakati mwl alikuwa analipwa mshaara wa 240,000/= kwa mwezi,,

SWALI3:
sasa najiuliza kati ya mbunge na mwalimu na mtu muhimu?Kwa hesabu za haraka mshaara wa Mh. ni 8,291,666.667/= wakati wa mwalimu ni 240,000/=. Kwa maana iyo mshaara wa mbunge 1 ni sawa na mishaara ya walimu (8,291,666.667/240,000)=34.

SWALI 4:
Kwa maelezo ya swali la 3,,je elimu itafikia mahali ambapo tunataka ifike kwa walimu kujituma,,kuwa wabunifu na kufanya kazi kwa moyo?

NILICHOJIFUNZA:
1)WATANZANIA TUACHE KULALAMIKA NA KULAUMU KUPITA KIASI KWA KUWA NCHI ILIFIKA MAHALI PABAYA SANA NA MASKINI TULISHASEMA BASI NA OGOPA SANA MASKINI AKISEMA BASI KWANI ATAKUWA TAYARI KWA LOLOTE.
IVYO TUMWACHE RAIS AFANYE KAZI YA KULETA USAWA NA KUONDOA MATABAKA.

We Peter Simba, amemaliza utata ki vipi?
ebu tujuze hapa, ufafanuzi wako umetokana na nn?

tukisoma post yako kwa muundo wake hatuwezi kukuelewa vyema, tutaanza kujaza nafasi isiyoachwa wazi!!
kilikuwa kimetokea nini hadi akafafanua kama ulivyomaanisha?
 
Sio Magufuli bali Mbowe eti eh! By the way, hivi ni kweli Zitto hana nyumba hapa Dar? Ina maana anakaa nyumba ya kupanga? Miaka zaidi ya kumi ya ubunge? Siamini! Halafu hajamnunulia mkewe gari ya kutembelea? Sismini! Nahisi mali nyingine ameziandikisha kwa jina la mkewe au ndugu!
Pamoja na hayo yote, hii hatua sio mbaya kwa kuanzia. Na hapa ni mtego mzuri kwa Magu na serikali yake wanaoigiza kuwa ni waadilifu. Ngoja tuone kama watareact!
 
Mtoa mada, umeshawahi jua migodini ile rotation leave inafanya kwa mwaka wafanye kazi only less than a year??
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom