waislam wa tanga wameitaka serikali kufanya yafuatayo katika tamko lao la tarehe 3/4/2011(kuhusu mfumo wanaodai ni mfumo kristo)
1.iache kutekeleza mipango yake kutokana na matakwa na mashinikzo ya makanisa kupitia maaskofu na wachungaji wao
2.isitishe mara moja kugawa mabilioni ya shilingi kwa taasisi za kanisa pekee
3.baada ya kutekeleza hayo(1&2),waislam wa tanga kwa manufaa yetu sote tunaitaka serikali
i.itaifishe mali zote za kanisa iliyopatikana kwa njia isiyo stahiki yake,kwa maana ya zile zilizotokana na
ruzuku itokanayo na kodi zetu.Hilo lifuatiwe na kugawanywa kwa mali hizo kulingana na asilimia ya
kodi kila jamii ilivyotoa
ii.iwapo hilo(3i)ni gumu,tunaitaka serikali ipige hesabu ya kodi yote iliyowapatia wakristo na makanisa
yao kwa miaka yote tangu uhuru.
Thamani itakayopatikana igawanywe upya na waislam kupitia taasisi zetu tupate mgao utakaokuwa
stahiki yetu
4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama
tamko la dar es salaam lilivyosema
source:gazeti la kiislam la annur;8-14/4/2011

Wameona Nigeria kuna ukanda wa Kaskazini unaofuata Sharia na sehemu nyingine ni Wakristo ndio wanataka kuiga, yani kwa akili zao kabisa wanaona tunaweza kuwapa mikoa fulani miwili mitatu ikawa ni ya Kiislamu tu. Jamaa wana nini vichwani?4.Serikali iunde mfumo wa serikali za majimbo ili kila watu wajitawale kwa mujibu wa sheria zao,kama